UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi great thinkers Leo nimajikuta nasikitika kimoyo moyo baada ya kuona watoto watatu wanahangaishwa na mama yao.
Baada ya kuachana na mumewe akawachukua watoto akaenda nao Dar kutoka Korogwe.Maisha yalivyo mpiga akawatelekeza watoto baba yao akaenda wachukua kuwarudisha Korogwe.
Kapata kazi ya kuuza bar karudi tena Korogwe anataka watoto aende nao mume kapandwa na hasira jamaa mpole sana kaamua kujichoma kisu mkononi Kwa hasira.Mwanamke anahangaika shule kuwahamisha tena hili lipoje wadau natamani kuingilia kati lkn namuogopa huyu mwanamke jirani ni mcharuko sijapata kuona Tz yote.