Hizo Ulizotaja ni Mojawapo tayari,Binafsi sijawai kutumia au kumiliki iPhone, ila napenda COMPAS DIRECTION na ile huduma ya GUIDE ACCESS yan kma mtu ameomba cm apige sim bas hatoki apo hadi pini,
Wajuzi karibuni
Sijaelewa hizo huduma zinausiana na nini nieleweshe tafadhali.Binafsi sijawai kutumia au kumiliki iPhone, ila napenda COMPAS DIRECTION na ile huduma ya GUIDE ACCESS yan kma mtu ameomba cm apige sim bas hatoki apo hadi pini,
Wajuzi karibuni