Kwako Rais Magufuli.
Nakushukuru kwa kuwaachia huru Babu Seya naPapii. Najua ukweli unaujua ndio maana ulifikia huu uamuz.
Hi kesi iliendeshwa kimaghumashi Sana Na kukomoana. Yani mwalimu anawapeleka watoto wabakwe halafu yeye Hana hatia. Kumbuka mdogo wake papii naye alihukumiwa Yani tu kukomoana familia.
Najua hivi karibuni ukweli utafahamika.
Umetufariji nyoyo zetu rais. Siri moja nakupa rais binadamu yeyote ukimuwin tu kisaikolojia utamtawala milele Sasa achia hizo hela Hazina. Jaribu tu kuachia Kama Trillion hivi kwenye mzunguko uone macompliment ya hatari Na ya kutosha utakayopata
Pamoja mkuu!
Mods msionganishe