Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taa hizi zilizojengwa maeneo ya stendi ya namanga, crdb na kona esso ni bughudha tupu kwa maisha ya wakazi wa jiji hili. Taa hizi zinasababisha msongamano mkubwa wa magari nyakati zote za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo...
7 Reactions
83 Replies
13K Views
Kutokana na jengo kubomolewa mifumo ya luku imekuwa dusturbed na haifanyi kazi toka jana saa 2 asubuh. Hii ni kutokana na upishaji wa jengo kubomolewa. Tanesco ambayo huwa inauza takribani bil3.5...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu, technology ndio kila kitu kwa sasa Pia kupitia Tech data collection na Management imekuwa Rahsi sana, Tunahitaji mifumo Sophisticated ya Kukusanya Data zote za Taasisi zinazofanana na Kuwa...
0 Reactions
4 Replies
841 Views
Leo wakati nipo sehemu tulivu sana yakanijia maono na kumuona babu Seya na mwanawe wanaachiwa huru mwaka huu na kufanyiwa sherehe moja ya nguvu na wanamuziki wote wa muziki wa dansi na bongo fleva...
16 Reactions
61 Replies
8K Views
Za asubuhi wana jf wote. Swali langu ni hilo tu, nineiona simu ebay ya uk, nimeipenda! Nawezaje inunua na inifikie mimi ambaye niko dsm, Tz? Je yawezekana?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu! Samahanini, naombeni kujua ni wapi hapa Tanzania wanaruka Bunjee Jumping, yale mambo ya adventure!! Ile unafungwa kamba mguuni kisha unajitupa chini mahali penye kina kirefu. Ajuaye...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wameisherehekea vizuri sana siku ya uhuru wa kujiamulia mambo including molestation. Kiongozi mkuu amewasamehe huku akijivunia na kujipiga kifua kutumia vifungu vya katiba! Of all criminal...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Bado najiuliza Kama Kweli Babu Seya hakuwa ameonewa , Je Kwa nini Baada ya Mh Rais kutaja jina lake kwa nini Uwanjani kulijawa na Shangwe na Vifijooo telee. Je kwa nini wale watoto waliotoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana jamvi, Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwa muda refu sana katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kwa utaratibu wa sasa kuna vituo askari wa barabarani wamekuwa wakisimamisha...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijasaidia kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5 na kuathiri maendeleo ya kiafya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nguza Viking na mwanae Papii Kocha wamefanyiwa maombi maalumu yaliyochukua masaa matano mfululizo kuanzia saa 1 hadi saa 5 usiku baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Rais. Maombi hayo maalumu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Afya zao hazizingatiwihawa jamaa wanafanya kazi kwenye msongamano mkubwa wa magari yanayotoa moshi hatari kwa afya zao lakini sijaona Polisi wa Usalama Barabarani Tanzania wakiwa na viziba uso ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hiki ndio kimekuwa kivutio kwa wananchi hapa Dodoma mjini kwenye uwanja wa ndege ulio pembezoni mwa barabara ya kuingia mjini ambapo wanajeshi walionekana wakishuka kwa kamba kutoka kwenye...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Kwa hakika nchi yetu kwa sasa imekuwa feki kwa 100%. Kitu pekee kilichobaki ni kumsifia Rais Magufuli hata kama anachokifanya si sahihi ili mradi tu na wewe upate tonge la ugali. Kwa hakika...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Afya ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu. Tumeshuhudia hata wanasiasa wakifanyia kampeni sekta hii ni namna gani wananchi watapata huduma nzuri ya afya bila gharama kubwa. mfano...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Huyu Mjinga Katika Mtandao Wa Facebook Kwa Makusudi Afurahia Vifo Vya Wanajeshi 14 Wa Jeshi la Wananchi Tanzania Vilivyotokea Huko Congo Kwa Kudai eti Ni Wapemba Kwahiyo Wamekufa Kwa Uzembe Wao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa wasiofahamu hotel levy ni ushuru wa nyumba za kulala wageni, mlipaji ni mmiliki wa biashara husika, na Ushuru huu unalipwa kwa kufuata Sheria ya nyumba za kulala Wageni(The Hotels Act) ya...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Huyu nabii juzi kafanya kitu ambacho kimenishtua sana kwenye kipindi chake, katokea mtu anadai ni kipofu kaja na mama yake mzazi, yule mama kaulizwa kadai huyo mtoto wake kazaliwa hana macho...
21 Reactions
133 Replies
19K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Chato mkoani Geita imemhukumu mkazi wa kijiji cha Kalema, Lukasi Nzoma (44), kwenda gerezani miaka mitatu au kulipa faini ya Sh. 200,000 baada ya kupatikana na hatia ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom