Wandugu hebu nisaidieni nikiorder bidhaa amazon kama Ipad na nikitoa hela zangu kweli itakuja hapa bongo, je hawa jamaa ni waaminifu. Kwa yeyote ambaye ametumia huduma hii ninaomba msaada plz.
Regards.
Ni waaminifu.Ndugu yangu aliorder suit kama wiki mbili zillizopita jana kaletewa,tena hii ni mara ya pili,mara ya kwanza aliorder kama suit tatu na alizipata pia.Isipokuwa kuna baadhi ya kampuni bidhaa zao hawazipeleki katika baadhi ya nchi,sijui kwanini.Nasema hivyo mimi mwenyewe pia niliorder nguo za kike, kampuni hiyo wakasema huwa hawapeleki bidhaa ktk nchi hiyo.Lakini suala la uaminifu mimi naona wanao.
Amazon ni waaminifu sana. Mimi nimewatumia zaidi ya mara kumi kuagiza vitabu. Tatizo linaweza kuwa ni uaminifu wa Tanzania postal system
Mkuu usiwe na shaka. Vizuri ukinunua kwa mtu mwenye nyota nyingi, na pia anayesafirisha mpaka nchi uliyopo. Ila pia ujue kuna kodi utalipa kabla hujachukua mzigo toka kampuni ya usafirishaji kama DHL.Wandugu hebu nisaidieni nikiorder bidhaa amazon kama Ipad na nikitoa hela zangu kweli itakuja hapa bongo, je hawa jamaa ni waaminifu. Kwa yeyote ambaye ametumia huduma hii ninaomba msaada plz.
Regards.
Ni nadra sana kupoteza mzigo. Ila ujue kama msafirishaji anatumia huduma nafuu sana ya kusafirisha, inawezekana mzigo ukachelewa na pia kuwa katika risk ya kupotea. Lakini ukitumia huduma kubwa ndani ya siku 7 mzigo utakuwa umefika.Mkuu nipe njia rahic nayoweza kutumia kwa hao posta ili nme na iman nayo
Ukishamlipa kuna gharama nyingine utakazolipia? Mfano umetumia postaNiliagiza external hard disk 5tb na 4tb...seller hatumia Tz so nikatumia forward company MYUS.COM NDIO AKAUFANYIA consolidation NA KUUTUMA TZ KWA FedEx KISHA Nyumbani nikaletewa na cds....MZIGO ULIFIKA KAMA NILIVYOTARAJI HAUNA UDANGANYIFU WOWOTE....NIMEPOST KAMA SHUHUDA WA AMAZON now nipo kwa huyu b&h photos huyu anatuma nchi yoyote huitaji forward.... Mwisho niseme do it for ur own risk....niliwah kununua pia EBay, aliexpress...Sijai tapeliwa ila Mara moja eBay niliuziwa flash feck ila alinibadilishia na kuniomba nisimripot wala kumpa - feedback