Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali inashirikiana na Umoja wa Mataifa (UN) kuhakikisha miili ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa na waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) inarejeshwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna Team inayoambatwna na Rais nafikiri ama kwa kukosa ubunifu au uharaka basi wanatengeneza Podium ya kawaida mno. Nimekosa kiswahili cha Podium ila ni Ile sehemu anayosimama raisi...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya.. Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli . He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu...
5 Reactions
128 Replies
11K Views
JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji 10 duniani ambayo yamepata tuzo ya C40 Bloomberg Philantropies 2017 kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka. Katika tuzo hiyo mwaka huu...
1 Reactions
0 Replies
751 Views
Inasikitisha Sana tena Sana tumeenza kumsahau ndugu yetu mwandishi aliyepotea, tusifanye makosa Kama tulivyofanya kwa kina Ben saa nane tukajipa matumaini atarudi bila kupaza sauti kwa pamoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama miaka 2 hivi iliyopita headlines katika vyombo vya habari ilikuwa juu ya maharamia waliokuwa wakiteka meli kila siku. Siku hizi sisikii kabisa. Tatizo lilikuwa nini? Na limetatuliwaje?
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu Wanajamvi, nimeipitia Sheria hii ya BOMOABOMOA Imenistua Kidogo. Fafanuzi ya Ssheria hii inavyosema Kwamba kutokea Askari Monument, ukakamata barabara ya Umoja wa mataifa na kunyokea...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Masheikh watano akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), mkoani Katavi, Sheikh Shaban Bakari wamejiuzulu uongozi wakidai kuwepo kwa migogoro ya uongozi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari. Mwanahabari Huru jana alikuja humu jf na uzi wa kutoa taarifa kuwa viongozi waandamizi wa ukawa watakuwa wakiongea na waandishi. Ni nini kiliongelewa maana kimya mno.
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Nimeshangaa na kusikitishwa na tamko la Afisa wa Magereza kuwa wafungwa walioachiwa waruhusiwe kukaa uraiani na kuwaasa wawe raia wema. Ni wakati muhimu sasa wataalamu na wasomi wetu kuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hapo vip!! Binafsi mimi ni mtu wa Arusha asilia but nimetembea Dar na kukaa kimtindo. Pia nimesoma nao katika level fulani ya Elimu binafsi watu wa Dar nimependezwa na tabia zifuatazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miezi kadhaa iliopita, Mungu alinifikisha mkoani Mwanza kwa ajili ya kufanya mafunzo yangu ya vitendo yaani (field practice). Kwakuwa nilikuwa mwenyeji wa Dar nilishangaa sana kuona kuwa hapo...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Shughuli hiyo ya kuuaga mwili wa marehemu Joyce aliyefariki dunia katika Hospitali ya TMJ baada ya kuugua kwa muda mfupi inatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, wanahabari na wananchi...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tumaini jipya! Mtoto wa kiume wa mfungwa anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking ‘Babu Seya’, Mbangu Nguza ameibuka na kusema kuwa, mwaka 2017 ndiyo wa mwisho kwa baba yake na mdogo...
3 Reactions
81 Replies
25K Views
“Dar es Salaam: Annual Weather Averages. January is the hottest month in Dar es Salaam with an average temperature of 27°C (81°F) and the coldest is July at 23°C (73°F) with the most daily...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wadau, Tumeona Rais Magufuli akiwasamehe kina babu seya,je kawatendea haki watanzania kwa lipi? Iwapo kuna watu wengi haki zao zimekaliwa kwa uonevu wa watu wachache tu ambao wanajiita...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Kutokana na serikari kutotoa ajira za walimu wa masomo ya sanaa wahitimu wengi wengi tumekua tukikata tamaa za kupata ajira,hivyo napenda kuwatia moyo wahitimu wenzangu kwamba mambo yatakua mazuri...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Wadau Serikali imeanza kutekekeza awamu ya tatu ya ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mara kupitia Wakala wa Majengo nchini. Ujenzi huo ni kutimiza ahadi aliyoitoa Mh Rais...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom