Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
....NAWAOMBA Mwambieni rais magufuli juhudi zake nazisikia

"Mungu azidi kumpa maarifa zaidi azidi kuliongoza vyema jahazi la watanzania..

RAIS HUYU NIMEPENDA HEKIMA ZAKE..

NAMI...NAMFANANISHA NA MWANDISHI WA MAKALA ZA KITABU CHA METHARI NA MHUBIRI (NABII SULEIMAN)

Mwembieni RAIS nimeiweka akiba yangu ya tumaini la mwisho kwake,

kwani.....

MUNGU NDIYE MFALME WA KWANZA AWEZAE KUMALIZA MSIBA WANGU HUU WA KUISHI KWENYE KUTA ZA GEREZA

WA PILI
Ni yeye JOHN JOSEPH awezae kunitenganisha Mimi na maisha ya gereza,,

SIIPENDI NDOTO YANGU YA KUJA KUFIA GEREZANI ..NAICHUKIA KAMA TAWALA ZA ERODE PALE GARILAYA

..NAUMWA NA HUKU HAKUNA MAKABURI MAZURI YA KUZIKIA WAFU WETU

,,MWAMBIENI ANISAIDIE JAPO NIJE NIFIE KWENYE MIKONO YA MAMA YANGU TU ALIE TESEKA LEBA KWA KUMWAGA DAMU YAKE NYINGI WAKATI AKINIZAA...

KAMA IKISHINDIKANA SIO MBAYA..

U CAN SEE MY DEAD BODY THROUGH MY WINDOW COFFIN

"MTAWEZA KUSHUUDIA MAITI YANGU YENYE PAMBA MASIKIONI NA PUANI ...

IKIWA NDANI YA JENEZA LANGU KUPITIA UPENYO FINYU WA DILISHA LA JENEZA HILO....

NIMEKINAI NA HUKUMU,,,NA NIMESHA JIFUNZA MENGI,

SIKU NITAKAYO TOKA NDIYO SIKU NTAKAPO LIVAA JOHO LA UCHUNGAJI NA KUPITA MITAANI NIKIUBIRI NENO LA MUNGU MPAKA JASHO LANGU LIGEUKE DAMU...

NATUMAI KTK MKONO WA BWANA
NA NATUMAI KTK MKONO WA JOHN JOSEPH

..HALELUJAH TUTAONANA MADHABAUNI

THANK U

KILA LA KHERI

*BANZA STONE..R.I.P
*KAKA NDADA COSOVO ..R.I.P
*AMINA NGARUMA "JAPANES ..R.I.P
*KAKA ANGU AMIGORASI ..R.I.P
*KAKA MCD ...R.I.P
NA WANAMUZIKI WOTE MLIO NIACHA NIKIENDELEA KUISHI KWENYE KUTA ZA GEREZA..

pris.jpg
 
View attachment 605657
Mtiririko (uandishi) wa Barua hii nimeupenda kweli...!!

Mkuu anapenda maneno mazuri mazuri kama haya...!

Anapenda kusifiwa...
Anapenda kuombwa...
Anapenda kunyenyekewa...

Kwa uandishi huu...barua hii inaweza kuchapwa kwenye Gazeti la Chama...!!

Nimeipenda sana hii.
 
So sad, nimeisoma zaid ya mara 3 na Kupata uchungu mkubwa sana moyoni.

Pata uchungu kwa wale watoto wa kiume aliokuwa anawapumulia sio kukaa kwake jela. Una mtoto weye au? Unaonaje ungemkuta uliyemuonea huruma akiwa anampumulia mgongoni?? Nadhani anataka kutumia maneno ya mitaani ati JPM na JK hawaivani so akaamini kuwa JPM atamtoa kama kumkomoa mwenzie. Atulie tu aamini kuwa hapo alipo ndo sehemu yake inayo mfaa.
 
Maana kuna mfungwa Alisha hukumiwaga kifungo Cha maisha alisota miaka chungu nzima ila baadae Sana ikaja kujulikana kuwa si yeye na alifungwa kimakosa kwa kusingiziwa,mi sijui bwana ila mungu tu ndo atahukumu,binaadamu Wana Mambo mengi Sana,huwa hawaoni hofu kumuua mke wa mtu au mume wa mtu,mi sijui na ninaondoka zangu na kuacha alama ambazo atakaependa atanifuata
 
Back
Top Bottom