La "Babu Seya" na familia yake lihitimishwe kwa "utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyosamehe wanaotukosea"

Chidu Mangalili

Senior Member
Mar 24, 2017
144
96
Kama kuna ukweli kwa jinsi kila mtu afikiriavyo likilotokea kwa familia hii na kwa upande uliohusishwa au kutendewa kwa vyovyote,na kwa alilolitekeleza Mh.Raisi wa Jamhuri yetu adhimu ya Tanzania,itoshe kuamini katika sala kwa Mungu alie pia Mola wetu kuwa "Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe wanaotukosea".
 
Back
Top Bottom