Habari za jpili JF
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari hali hii ya umasikini katika mataifa mengi ulimwenguni ikiwemo Tanzania.
Huku kukiwa na takwimu zinazoonyesha kuwa dunia ina resources za kuwalisha watu wote duniani, cha ajabu karibu theluthi moja ya idadi ya watu duniani uenda vitandani wakiwa hawajala, na idadi yao kubwa iko Afrika na Asia.
Ni kweli pia hapa nchini toka tupate uhuru, ziko jitihada zimefanyika ili kuboresha. maisha ya watu na kupunguza umaskini, ila bado karibu 1/3 ya watanzania pia wanaishi chini ya poverty line (yaani wanaishi katika umaskini uliokithiri)
Hii ikiwa na karibu watu milioni 14 ya watanzania, hawana uhakika wa chakula bora, afya bora, elimu bora na hata malazi bora.
Kwa ukubwa wa tatizo hili, inanipa kujiuliza maswali magumu amabayo nataka tujadiliane sote na pengine tutoe mapendekezo ya kipi kifanyike!!!
Unazani why this massive failure of mankind, katika kupigana na adui Umasikini ?
Tatizo letu hasa ni nini? Akili ndogo (low IQ)?
Je ni kweli we are doomed to failure due to external supernatural power? And it seems our poverty is Like a curse?
Je ni kwa kiwango gani mifumo yetu ya kiutawala inaweza kuwa sababu ya kufeli huku?
Je wasomi wetu ni kwa sehemu gani wameleta ufumbuzi wa hali hii duni ya kimaisha? Coz ni haibu wakati mwingine kutaja idadi ya wasomi imeongezeka toka uhuru uku wimbi la umaskini katika jamii zetu unaongezeka.
Karibuni kwa michango wakuu