Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wakuu
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa gari la kampuni ya vinywaji TBL likiwa katika safari zake limepata ajali maeneo ya Tabata Jijini Dar es salaam.
Hakuna taarifa zozote za wahanga wa ajali hiyo hadi sasa. Hata hivyo baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wameonekana wakijipatia vinywaji vya bure.
Tutawaletea mrejesho zaidi.
Aksanteni.