Kwa mujibu wa maelezo ya makamu wa chuo kikuu cha Muhimbili kampasi ya Mloganzila kuwa hospitali hiyo pamoja na chuo kitafunguliwa rasmi tarehe 25/11/2017, ni jambo jema na la kutia faraja kwa...
Wana JF, natamani kusaidiwa ni kwa namna gani naweza kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambaye kadi yake ya clinic ilipotea na bahati mbaya sana hata ya mamake pia haipo, naombeni mawazo yenu wadau!!
Huu ni wakati wenu wa kusimamia tamko la waziri juu ya nyumba za kupanga.
Kodi ilipwe kwa mwezi na sio kwa miezi sita au Mwaka.
Kusahau au kutosimamia hili hakutakua na maana saana ikiwa wajumbe...
Tulishawahi kujiuliza ni muda kiasi gani tunaupoteza bila kuutumia kuzalisha mali. Watalaam wa ujasiliamali wanasema :-
Ukiwa na miaka 18 hadi 28 tumia muda mwingi kujifunza mambo mapya na...
Licha ya serikali kuboresha miundombinu ya sekta ya afya, bado vituo vingi vya afya vinatoa huduma hiyo kwa upendeleo na kuwabagua baadhi ya wagonjwa ambao hawana fedha.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
Baada ya kusua sua kwa mda mrefu, kiwanda hiki kilichopo Arusha hivi sasa kina mpango kabambe wa kujiimarisha kimataifa ikiwemo kuanza kuuza bidhaa zake nje ya nchi ikiwemo Kenya, Rwanda, Zanzibar...
Kumeibuka tabia ya baadhi ya watu Wetu wa karibu kama ndugu au rafiki au Jirani. Kila akikutafuta au ukikutana nae huwa anapenda kujua unafanya nini Au unashughulika na nini baada ya kufahamu...
Siku huyu akirudi CCM ni balaa. Jamaa ni Genius sema wanamuogopa sana ana sifa zote za kuwa Rais wa nchii hii na ni mzalendo
Tusisahau pia jinsi ambavyo amekuwa akifanyiwa vituko na vikwazo vya...
Wakuu nalazimika kuandika haya kwa uchungu na hasira kumekua na diwani mmoja ambae sitamtaja Chama chake kuepuka kuonekana labda nimelizungumza hili kwa kuangalia itikadi ya Chama Chake.
Kifupi...
Watu watatu ambao ni raia wa Somalia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka sita likiwemo la kuhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi...
Habari!
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza tunaomba Serikali itupie jicho kwa bandari ya Mtwara. Ukweri ni kwamba kuna tabia za kijinga ambazo...
Imebainika kuwa wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wako hatarini kiafya kutokana na kukabiliwa na maradhi ya moyo, shinikizo la damu maarufu kama presha, uoni hafifu na kisukari.
Ukweli huo...
Bwana Yesu Asifiwe:
Kwanza naomba kudeclare interest kuwa ndugu zangu ikiwemo wazazi wangu ni wakulima wa korosho kwa muda mrefu. Tangu nizaliwe mpaka nafikia umri huu shughuli tunayoitegemea...
Zaidi ya raia mia nane wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameingia nchini katika wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma kuomba hifadhi ya ukimbizi...
1. Wana njaa kali wanatafuta pa kujishibisha
2. Wamekosa ukomavu wa kisiasa, wanafikiri upinzani ni lele mama
3. Wanafikiri upinzani hauna cha kusema angali hata Marekani/Uingereza/Ufaransa...
Mabasi yamepaki abiria wanaangaika usafiri.
Huu ni ushamba waendeshaji wanasababisha usumbufu na kero kubwa.
Badilikeni mtu amekata tiketi anakaa kituoni dakika 30.
Ushamba au dharau
Kwa sababu umeme umekuwa shida sana serikali ingewekeza hata kwa kushirikiana na watu binafsi kwenye uzalishajimdogo mdogo wa umeme wa maji tuna maeneo mengi sana ambayo ni potential kwa...
Wadau
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Uledi amesema Tanzania inaagiza kutoka nje tani 2,000 za Samaki kila mwaka.
Amesema hii ni aibu kwani wapo Samaki wengi wa aina tofauti...
Wadau
Haya ndiyo masharti Mapya kwa watakaoshiriki mnada wa kesho tarehe 24/11/2017
1. Lazima kila mshiriki ajisajiri
2. Kila mshiriki atatoa tshs milioni 2 kabla ya kuanza mnada. Ukishindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.