Je wewe ni mpenzi wa Riwaya za Taharuki, hususan kutoka kwa mkali wa riwaya hizo nchini, HUSSEIN TUWA? Kama jibu ni ndiyo, basi sasa ndio wakati wako wa kufunga na kufungua mwaka kwa riwaya kali...
HAKIKA YOTE YAMETIMA
Nimekaa nikasikiliza mashairi ya huu wimbo wa Mh.Joseph Haule ,Nang'atuka mpaka nimeshtuka na kama sii kuogopa.
Ni kama vile jamaa alioteshwa. Yote yalioimbwa yatatimia...
Wasalaam wanajamii,
Nirukie kwenye swali moja kwa moja nahitaji kufahamu ufafanuzi wa student visa je, visa hii utolewa kwa watu waliopata scholarship tu au kwa mtu yeyote mwenye dhamira ya...
Tusali pamoja kuwaombea mapacha hawa walioungana Maria na Consolatha waliolazwa kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete jijini Dar es salaam wakipatiwa matibabu ya Moyo.
Na hii ni video...
Tangu asubuhi ni scanning in progress
Searching for signal.........
Nini tatizo wakati tunawalipa? Ina maana mnashindwa kuboresha mitambo yenu?
Hamjui kuwa hakuna fidia kwa muda uliopita bila...
Wakati serikali ukijitahidi kuondoa kero katika jamii, kituo cha polisi kati Mwanza kimekuwa kero kwa kuziba njia ambayo imekuwa ikitumiwa na wasafiri wanaotumia meli ziendazo Bukoba na Ukerewe...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda , Leo amehaidi Kuijengea Nyumba ya Vyumba Vinne (4) Familia ya Mwandishi (mpiga picha) wa Magazeti ya Serikali TSN wanaochapisha Magazeti ya Habari...
Nchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Kwa ufupi
Mkazi wa Ilala Bungoni, Dar es Salaam, Richard Mrutu alisema kushuka kwa usajili katika shule binafsi kumetokana na kuimarika kwa hali ya elimu katika shule za Serikali ikilinganishwa na...
Shirika la Stemm ambalo lilitoa msaada wa kuwatibu mtoto Shadia,Doreen,na Wilson nchini Marekani walionusurika katika ajali iliyouwa wanafunzi 32 dereva pamoja na walimu 2 wa shule ya Luckvicent...
Habari wana Jf!
Napenda kujua habari zao,namna walivyofanya,walivyotendewa,sioni wakisikika tena,hivi wako wapi? wanafanya nini? Mustakabali wao wa maisha ya siasa,na Ulimboka Taaluma yake ya...
Nasikitika kwajulisha msiba wa Dr Agustino Goodman,uliotokea nyumbani kwake segerea juzi usiku,mazishi yanatarajiwa kufanyika Hapo Hapo nyumbani kwake jumatatu
Kwa kifupi Dr Goodman alikuwa...
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Wandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya...
Eee Mwenyezi Mungu asante sana kwa siku ya leo.
Usiku huu tunajikabidhi kwako, tunalikabidhi Taifa letu la TANZANIA kwako, na pia tunamkabidhi kwako Rais wetu mpendwa Mh John Pombe Magufuli...
wakuu habari z saiz naomba msaada kidogo . kuhusu sheria za kazi..mdogo wangu kike anafanya kazi serikalini yeye ni lecture chuo fulani. kenda masomoni akaawa unapewa mshahara wake kamili kwa...
Abdul Nondo,ameshinda uchaguzi uliofanyika leo na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa mtandao wa kutetea wanafunzi Tanzania( TSNP.) baada ya kupata kura 49 za NDIO dhidi ya 1 ya HAPANA
Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara.
Kutokana na...
Habar wana jf
Leo nilikuwa naangalia habar za michezo nikamkumbuka hemed kivuyo mzee wa vionjo vionjo
Ila kwa sikuhz za karibuni sijamsikia na wala sijamuona itv na mm ni mtamaji pendwa wa itv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.