JAY THE SON
Member
- Nov 26, 2017
- 43
- 33
Hakika nimeiona faida ya kuwa ktk jamii forum nimepata msaada mkubwa na bado naombeni ushauri zaidi
Naombeni mnisaidie mchanganuo Wa kuezeka vyumba viwili idadi ya Mbao
2@2 ni ngapi
4@2 ni ngapi
Natumia zile za futi 12
Bati ngapi( natumia za futi 10)
Misumali kiasi gani kenchi na Batu
Vyumba vina ukubwa Wa futi 10@9
Nisaidieni wadau
Naombeni mnisaidie mchanganuo Wa kuezeka vyumba viwili idadi ya Mbao
2@2 ni ngapi
4@2 ni ngapi
Natumia zile za futi 12
Bati ngapi( natumia za futi 10)
Misumali kiasi gani kenchi na Batu
Vyumba vina ukubwa Wa futi 10@9
Nisaidieni wadau