Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kikosi cha kupambana na rushwa Kiteto kinawashikilia maafisa elimu wawili wilayani Kiteto kwa tuhuma za kutumia mqdaraka yao vibaya Taarifa za uhakikia zinaeleza kuwa moja ya sababu ya...
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Ikiwa inajulikana kwamba Punda huwa ana ngozi ngumu na ni mharifu sana wa magari hasa madogo pindi anapogongwa leo kaipata fresh. Maeneo ya Nanja Wilayani Monduli Mkoani Arusha leo january 04...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku moja baada ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutangaza kuanza kampeni ya miezi mitatu ya kuwasaka wanufaika wa mikopo ambao mikopo yao imeshaiva, wadaiwa waanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau; Mimi kitaaluma ni mwanasaikolojia na kwa muda sasa nimekuwa nikifanya study ya personality development kuanzia utotoni mpaka uzeeni.Katika tafiti zangu pia ninatazama maswala ya...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
January 04, 2018 BARUA YA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE(DR.) JOHN POMBE MAGUFULI Mhe.Rais, kwa heshima na taadhima naomba nianze kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mamlaka husika ujumbe mzito huo kuhusu bidhaa zetu za ndani katika kuelekea uchumi wa viwanda na nchi kufikia uchumi wa kati ifika mwaka 2025. Utatuzi wa Changamoto hii.......
0 Reactions
5 Replies
804 Views
JIHADHARI, HAYA NDIYO YANAITWA UCHOCHEZI KWASASA. Kama hujajua ni kuwa ni rahisi sana kuunganishwa kwenye makosa ya uchochezi. Sheria mpya ya Huduma za Habari ya mwaka 2016...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jaffary Mohamed amethibitisha kuwa wanamshikila Nyandaro Kusoya mkazi wa kijiji cha Nyang'oma kwa tuhuma za kumchoma moto mikono yote mtoto wa kaka yake, Sarah...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro inamshikilia karani wa Mahakama ya Mwanzo ya Maili Sita wilayani Hai, Rose Urassa (58) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba swali hili liwe mahususi kwa jeshi la polisi na wapenda usalama wote. Huu mtaa wa keko uko jijini Dar es salaam katika manispaa ya temeke. naweza kusema ni mtaa tata tangu enzi na enzi na...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu. Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo...
3 Reactions
2 Replies
769 Views
Habari wanabodi. Mada hapo juu yahusika. Mimi ni msomaji wa vitabu na mfuatiliaji mkubwa wa matukio mbalimbali kwa nyanja zote za maisha. Sasa nataka kupata taarifa za habari za BBC na Radio DW...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi everyone on JF! Nina swali,, na pia naombeni majibu .kwa waliofanikiwa na wanaohitaji , Je? Taasisi ya Mikopo itwayo STEP UP LOAN NI taasisi ya kweli? Na IPO chini ya Nani Ahsanteni Wanajamvi...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Tumekuwa tukiuza aina mbali mbali za gesi Oryx n moja ya kampuni bora kabisa Hivi karibuni wananchi wameanza kulalamika kila kona gesikuvuja kuna shida wakati mkifunga ama zile rubber zenu...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Waryoba alitoa agizo hilo Desemba mwaka jana katika kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya baada ya kupokea taarifa ya elimu kutoka kwa Ofisa Elimu Sekondari, Sostenes Luhende kuhusu wanafunzi hao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu jamaa na marafiki kwa wenye ufahamu juu ya jambo hili naombeni msaada. Yapata takribani miezi miwili tangu hii hali kuanza kunitokea na ni kila nikilala haijalishi iwe usiku au mchana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nimeona ongezeko la ujenzi holela kuanzia eneo la Uyole kati ukiwa unaelekea Tukuyu Kyela au Nchi jirani. Kuna ujenzi wa nyumba nyingi za kisasa. Kwa hili wananchi wanapaswa kupongezwa...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
wanawake Acheni kuoneana wivu maswala yakukaa chini nakuanza kuwaonewa wivu vijana wanaoitwa Ben ten......
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Mikoa itakayokuwa na mvua hizo ni Pwani ya Kusini ambayo ni Lindi na Mtwara, Nyanda za Juu Kusini Magharibi ambayo ni Mbeya, Iringa, Songwe na Rukwa, Dar es Salaam na Pwani. Dar es Salaam...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Nilikua nasikiliza maneno ya Askofu Kakobe huko youtube kwakweli kwa maneno aliyoyasema kwenye video hii yamenifanya nimkumbuke Mungu wangu na nimshukuru kwa uhai nilionao. Alikua anazungumzia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom