Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msaada, Please selikali imesema ving'amuzi channel za ndani ni bure, je natumia StarTimes nafanyaje ili nitumie?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu anakuwa na amani kama ametulia kwenye akili. Ni mtulizo wa akili mtu hapo tunasema ana amani.HUMU tanzania hamna amani kwasababu nyingi. mifano:  1)ela yetu haina...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali kupitia Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu yatangaza mpango wa kuwahamisha Madaktari Bingwa 200 kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenda Mikoani > Waziri amewaagiza Waganga wakuu wa...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
Habarini, Yaaani sikuamini, Mi nimkazi wa Dar sawa, lakini nature ya kazi yangu na mahala nikaaapo huwa sikutani sana na haya niliyoyaona leo. Nilikwenda mbezi ya kimara kulala huko na leo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi nikiwa mgonjwa wa mara kwa mara katika hospitali yetu pendwa yenye huduma nzuri hapa jijini Dar es salaam. Nimevunjwa moyo na kupindukia kwa kupotea Maadili kazini katika utoaji wa huduma...
3 Reactions
72 Replies
12K Views
Licha ya China kuwekeza mtaji mkubwa katika miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, imebainika kuwa nchi hiyo ina mchango mdogo katika mapambana dhidi ya athari za mabadiliko...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanandugu, Naomba mwenye namba ya makao makuu Tz ya kampuni ya minara HTT anisaidie.
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Kama nusu saa hivi nimekuwa nikisikia gari inaunguruma nje ya uzio wangu, ikabidi niamke nikae niangalie ni gari gani na lengo lake nini. Liliposimama siwezi kuliona naona taa tu na kusikia mlio...
12 Reactions
75 Replies
6K Views
Mtakubaliana na mimi sasa hivi katika nchi yetu kuna mlipuko wa kushangaza sana wa magonjwa yasio ya kuambukiza kama kisukari, shinikizo la damu na moyo. Kwa mtazamo wangu kuna kitu hakiko sawa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kunasehemu kumefukuliwa , lakin chini kunazege na bado Mali hzo hawakufanikiwa kuzitoa nifanyaje, zege lilipatkan kana mita mbili hivi
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Magu kweli katunyoosha, hakuna cha dili wala madili, misheni tauni imekuwa fedheha, yale ya kusema utafute nauli tu ya kwenda tauni kurudi utakuwa umejaa mapene na hela ya kutosha msosi, nyama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kesi inayomkabili Shaban Hussein (Ndama mtoto wa Ng’ombe) ya makosa matano imehairishwa mpaka 12/2/2018. Wakati wa kusikiliza kesi hiyo upande wa mshtakiwa umedai unasubiri nyaraka kutoka nchini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara ya Kwanza alinikuta nikiongea tena kwa kutaniana tu na Binti yake Dirishani akanionya kuwa hapendi nikamwelewa, mara ya pili tena alinikuta nikimpangusa Vumbi huyo huyo Binti yake ambalo...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwenyekti wa Bodi ya Parole nchini Mheshimiwa Agustino Lyatonga Mrema, amesema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi kwa watu waliomzushia taarifa za kifo hapo jana. Akizungumza...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
usihofu, Mungu anaweza yote, anaweza kukutoa katika hali hiyo uliyonayo sasa, hadi wale wote waliokudharau wakashangaa. download document hii, kakae usome kwa makini na Mungu atakusaidia.
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Watu 3 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa moja jioni katika eneo la kijiji cha Simbo wilaya ya Kigoma ikihusisha gari aina ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam hapa JF! Nina zigo la maumivu moyoni juu ya hicho kinachoendelea Mtwara! Habari zinasambaa kwa kasi kwamba kuna mtoto aliyezaliwa, kufumbua macho na kutoa ujumbe kwamba, kuna mvua...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuwapatia wananchi wote maji safi na salama. Imejiwekea malengo ya kuhakikisha ifikapo 2020 watu milioni 24 wapate maji ya uhakika ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’ Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom