Kuhusu kitabu kilicho vunja record kwa muda mfupi "Fire and Fury, Inside The Trump White House"

kisoko

Member
Dec 20, 2015
37
39
Habari wanajukwaa, Natumai mu wazima.
Naomba kuanza kwa kusema sijaleta habari za uhakika kuhusu kitabu tajwa hapo juu, ili nimepata shauku ya kuleta uzi huu ili kupata habari na uelewa au kupata habari za uhakika kwa kuwa JF ni jukwaa la uhakika na kuaminika kwa miaka mitatu sasa ya uzoefu wangu, nipende kusema tu kuwa mara nipatapo breaking news za siasa, uchumi au tukio lolote nchini huwa nakimbilia hapa jukwaani na mara zote km siyo mara nyingi nmekuwa nikikuta na kupata habari za uhakika kuhusu mambo na matukio kadha wa kadha, lakini leo sijaona habari hii hapa jukwaani na ikanilazimu kuandika uzi huu kwenu wakuu.
Hivyo basi naomba bniende kwenye point yangu, ni kwamba toka mchana nmekuwa nikisikia kuwa kuna mwandishi mmoja wa vitabu huko nchini Uingereza Michael Wolff, ameandika kitabu chenye kicha cha habari hapo juu kuhusu utawala wa Rais wa marekani Dolnad Trump, kiasi kwamba kimevunja record ya mauzo ya vitabu vinavyonunuliwa mtandaoni, na kwamba Trump ametweet kuhusu hicho kitabu kwa maana hakina ujumbe mzuri zaidi kuhusu utawala wake wa takribani mwaka mmoja tok a alipoingia madarakani.
Naomba kwa wajuzi wa mambo wanoweza kutupa ufafanuzi wa kitabu hicho kimezungumzia nini na kwanini kipate umaarufu wa muda mfupi hivi, na kama anaweza pia kukitupia hapa au kutuonesha na mna ya kukipata mtandaoni tukakisoma itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha. Nawasalimu sana Mshana Jr na miss natafuta na wanajukwaa wote ambao sijakariri ID zao fake za kuvutia.
 
Kitabu kinaweza kisiwe na lolote la maana ila utata, vihoja na ukinyonga katika uongozi wa Trump umefanya watu wengi duniani washindwe kuelewa Trump ni mtu wa namna gani. Inapotokea yeyote akatangaza kumfahamu au kuwa na taarifa za kina kumhusu watu wengi watajitokeza.

Mwandishi amekamata fursa!
 
Kitabu kimeishatoka na nafikiri ni sold out ila unaweza ukapata mawili matatu kwenye mitandao au download
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Baada ya Mainstream Media kushindwa kumchafua Rais Donald Trump wamekuja na style ya kumtungia kitabu lakini Rais Donald Trump ataendelea kuwashinda kwani uchumi wa Marekani kipindi chake umeumarika sana na Slogan yake ya To Make United States Great Again imeanza kutekelezwa kwani kwa mara ya kwanza Marekani imeanza kuchimba mafuta kutoka kwenye ardhi yake kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi. Rais Donald Trump ameamua kupunguza gharama za kijeshi kwa kusimamisha vita huko middle East. Hiki kitabu kinaweza kumfanya Rais Donald Trump kuwa maarufu zaidi

Addressing the questions about his mental capacity, he said: "I went to the best colleges,I had a situation where I was a very excellentstudent, came out and made billions and billions of dollars, became one of the top business people, went to television and for 10 years was a tremendous success, as youprobably have heard."
 
Nadhani uu miongoni mwa watu wanaoogopa kukosolewa.
Hakuna aliye mkamilifu.
 
Trump ni mwehu ameongeza majeshi afghanistan maana na gharama zimeongezeka
 
Heeeh akili yako iko sawa kweli?
 
Trump asilimia kubwa wanaompinga hawajui hata wanampingia nini? hasa wamarekani weusi waliokuwa wanamshabikia Obama(ambaye kwa kiasi kikubwa alikuwa anashabikia mambo ya kishezi kama ndoa za jinsia moja)ambapo mgombea wa chama chake (kinachosapoti same sex marriage)Hillary Clinton alishindwa na Trump
 
Nimeangalia Aljezeera na CNN tangu asubuhi wakizungumzia hiki kitabu. Nilicho-note wengi wanakimbilia kununua kutaka kumjua zaidi Trump na jamaa ametumia fursa vizuri sana, maana amewateka watu kuwa amefanya mahojiano na aliyekuwa msaidizi wake na kuelezwa mamilioni ya maneno na upuuzi alioufanya ndani ya White House pamoja na kashfa ya kuungana na Urusi wakati wa uchaguzi kupitia mtoto wake wa kiume. Kubwa nimeona kwamba wezetu wana utamaduni mzuri mno wa kupenda kusoma vitabu. Bahati mbaya maduka yote yaliyoonesha wanunuaji wamejaa kukinunua, sikuona black.
 
blacks Ni minorities. Na usiwausishe blacks Na Mambo ya kijingajinga
 
Baada ya Mainstream Media kushindwa kumchafua Rais Donald Trump wamekuja na style ya kumtungia kitabu lakini Rais Donald Trump ataendelea kuwashinda kwani uchumi wa Marekani kipindi chake umeumarika sana na Slogan yake ya To Make United States Great Again imeanza kutekelezwa kwani kwa mara ya kwanza Marekani imeanza kuchimba mafuta kutoka kwenye ardhi yake kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi. Rais Donald Trump ameamua kupunguza gharama za kijeshi kwa kusimamisha vita huko middle East. Hiki kitabu kinaweza kumfanya Rais Donald Trump kuwa maarufu zaidi

Addressing the questions about his mental capacity, he said: "I went to the best colleges,I had a situation where I was a very excellentstudent, came out and made billions and billions of dollars, became one of the top business people, went to television and for 10 years was a tremendous success, as youprobably have heard."
Trump huwa hasahau neno tremendous
 
Back
Top Bottom