Rubani Afanya Ngono Kwenye Kiti cha Urubani

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
?
Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific

Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya kuonekana kwa picha za rubani wake akila uroda na mhudumu wa ndani ya ndege kwenye kiti cha rubani.

Picha zimezagaa kwenye mitandao zikimuonyesha rubani wa ndege ya Cathay Pacific akiacha majukumu ya kazi yake na kuamua kula uroda na mhudumu wa kike wa ndani ya ndege.

Picha hizo zimelitikisa shirika la ndege la Cathay Pacific lenye makazi yake mjini Hong Kong.

Shirika hilo la ndege limeamua kuwafukuza kazi rubani na mhudumu huyo wa ndani ya ndege baada ya picha hizo kuzua maswali ya usalama wa abiria ndani ya ndege za shirika hilo.

Ili kuzuia picha hizo zisisababishe madhara zaidi, Cathay Pacific liliwahi kutoa taarifa iliyosema kuwa picha hizo zilipigwa kabla ya ndege kupaa.

Miongoni mwa picha zilizozagaa kwenye mitandao zinamuonyesha mhudumu huyo wa ndani ya ndege akinyonyana sehemu za siri na rubani huyo kwenye kiti cha rubani.

Picha hizo zilianza kuonekana kwenye blogu mbali mbali za nchini China na kupelekea shirika hilo kuanzisha uchunguzi wa ndani juu ya picha hizo.

Awali picha hizo zilionekana kama ni za kufoji zenye lengo la kuharibu sura ya Cathay Pacific lakini baada ya uchunguzi kukamilika iligundulika kuwa picha hizo zilikuwa ni za kweli.

Magazeti ya China yaliripoti kuwa wawili hao walikuwa ni wapenzi na picha hizo ziliibwa toka kwenye kompyuta ya rubani na kusambazwa kwenye tovuti mbalimbali duniani.

?
 
Iko haja ya kutoa kale kaukuta ka kutenganisha ruban na abiria maana nina wasiwasi hata ndege zetu za hapa mjini wanaweza kuwa na kamchezo hako maana macabin crew wanakaa muda mwingi kwenye ndege kabla haijaondoka..huku abilia mko mnaambiwa samahani ndege itachelewa dakika 20...
 
sahihi kabisa mdau paweke wazi
Iko haja ya kutoa kale kaukuta ka kutenganisha ruban na abiria maana nina wasiwasi hata ndege zetu za hapa mjini wanaweza kuwa na kamchezo hako maana macabin crew wanakaa muda mwingi kwenye ndege kabla haijaondoka..huku abilia mko mnaambiwa samahani ndege itachelewa dakika 20...
 
Hii kali aisee!ila kwa ndege za huku africa wala sioni tatizo sana!tena hizo zinazokaa angani muda mrefu possibliy hiyo hali ikatokea!sasa hapo nasni mwenye makosa?rubani au cabin crew?
 
ajali zingine ni hasira ya mungu kwa wazinzi kama hao......

halfu mtu anasema nina mke air hostess lol
 
mkuu hebu tupe hiyo blog nione manake mi navoogopa ndege nikijua hilo ntazimia kabla ya yote asee
 
?
Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific

Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya kuonekana kwa picha za rubani wake akila uroda na mhudumu wa ndani ya ndege kwenye kiti cha rubani.

Picha zimezagaa kwenye mitandao zikimuonyesha rubani wa ndege ya Cathay Pacific akiacha majukumu ya kazi yake na kuamua kula uroda na mhudumu wa kike wa ndani ya ndege.

Picha hizo zimelitikisa shirika la ndege la Cathay Pacific lenye makazi yake mjini Hong Kong.

Shirika hilo la ndege limeamua kuwafukuza kazi rubani na mhudumu huyo wa ndani ya ndege baada ya picha hizo kuzua maswali ya usalama wa abiria ndani ya ndege za shirika hilo.

Ili kuzuia picha hizo zisisababishe madhara zaidi, Cathay Pacific liliwahi kutoa taarifa iliyosema kuwa picha hizo zilipigwa kabla ya ndege kupaa.

Miongoni mwa picha zilizozagaa kwenye mitandao zinamuonyesha mhudumu huyo wa ndani ya ndege akinyonyana sehemu za siri na rubani huyo kwenye kiti cha rubani.

Picha hizo zilianza kuonekana kwenye blogu mbali mbali za nchini China na kupelekea shirika hilo kuanzisha uchunguzi wa ndani juu ya picha hizo.

Awali picha hizo zilionekana kama ni za kufoji zenye lengo la kuharibu sura ya Cathay Pacific lakini baada ya uchunguzi kukamilika iligundulika kuwa picha hizo zilikuwa ni za kweli.

Magazeti ya China yaliripoti kuwa wawili hao walikuwa ni wapenzi na picha hizo ziliibwa toka kwenye kompyuta ya rubani na kusambazwa kwenye tovuti mbalimbali duniani.

?
Ndege huwa ina AUTO-PILOT; chombo kinajiendesha chenyewe...Kama rubani kaweka hiyo inamzuia kunywa hata KAHAWA??? KAma kuna auto-pilot huyo PILOT alikuwa anapata KAZI NA DAWA......Kama VIONGOZI WA Tz wanavyolia kazini mwao.....WIVI NA UTUMIAJI MADARAKA VIBAYA KUMBE SEHEMU NYINGI UPO BAJAMENI:)
 
Huyo rubani na Mhudumu wake HAWAKUFUNGA? Au walidanganya wamefunga huku wakiendeleza mambo yao kama wafanyavyo wengine?
 
Back
Top Bottom