Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni wamawake wachache ambao hupatwa na matatizo ya mshtuko wa moyo wanaoweza kufa ikiwa watapata matibabu sawa na yale wanayopewa wanaume, uchunguzi umeonyesha. Utafiti huo uliangazia matokeo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uyole Mbeya,Hoteli ya Westpine iliyojengwa hivi karibuni kajengo kake ka mbele na fence viliwekwa X wakati Wa ujenzi.Lakini baadaye kidogo aliendeleza Ujenzi na sasa amewekewa alama ya X ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tuliendelea na zoezi la uwekaji mpaka baina ya eneo la hifadhi ya bonde la Ardhi Oevu la Kilombero na eneo la vijiji katika wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro. Pamoja na kuambiwa kuwa...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nimesoma muundo wa kampuni ya mabasi UDART kwamba kampuni ya Simon group inamiliki asilimia 51. Kwa upande wa pili serikali na umoja wa wenye daladala kwa pamoja wanamiliki asilimia 49...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
WanaJF, Mimi namfahamu Prof. Rwekaza Mukandala kama ifuatavyo, na wewe unamfahamuje? 1. Ni Prof. wa ukweli wa Political Science. 2. Ni mwanzilishi wa REDET. 3. Ni mtu mzuri sana ktk utendaji...
2 Reactions
84 Replies
29K Views
Kundi la watu lilikwenda mahala wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema, "Atakaeokota atajuta na asiyeokota atajuta". Baadhi yao wakaokota na wengine hawakuokota, wakarudi...
1 Reactions
3 Replies
707 Views
£20m Lottery Winner Found In Concrete Grave A lottery winner who repeatedly told his family "I'd have been better off broke" has been found buried five-feet deep under a concrete slab...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuuliza si ujinga! Gazeti la Nipashe, page 5, inamuonyesha Waziri wa Mifugo na Uvuvi akiwa anevaa jaketi la combat fatigue. Wizara ya Ulinzi na hata Mambo ya ndani wanetia maramko mengi kupiga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ameamuru tani 65 za Samaki zenye thamani ya shilingi milioni 200 zitaifishwe na hapo hapo ameamuru Samaki hao wauziwe watu wenye leseni ya kusafirisha kwenda nje...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Umuofia kwenu wanajf, Jana nilipigiwa simu na star times wakinishawi nilipie kifurushi cha uhuru kwa 24000 kwa mwezi. Katika mazungumzo niliwaambia sina huo upumbafu wenu,nikawauliza ni kwanini...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Hivi ndivo kulivokucha nyumbani kwangu leo..... Msaaada kwa wataaalamu wa mambo haya mnisaidie ni nn hii???
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Aisee.. Nimetoka Arusha saa 12 asubuhi lakni huu mwendo wao naona tutafika dar saa 8 usiku.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mahakama ya juu zaidi nchini Taiwan imemuru kuwa mwanamume mmoja amlipe mamake karibu $1m (£710,000)kugharamia malezi na masomo ya kuwa daktari wa meno. Wazazi nchini humo wamekuwa wakiwashtaki...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Concentrate on what’s good about you. You’re never going to be satisfied unless you know what you’re good at and focus a lot of your energy on it. If you want to be the best version of...
1 Reactions
1 Replies
609 Views
KAGAME ASHINDA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA. Mtandao "African Leadership" wa nchini Uingereza uliokuwa unaendesha mashindano ya kuwapata viongozi bora wa Afrika ktk nyanja za kisiasa, na...
12 Reactions
244 Replies
26K Views
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Rahimu Haruni (30), mkazi wa mtaa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakati akianika nguo kwenye waya...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari wanajukwaa, Mimi ni msomaji wa gazeti la kila jumapili la upendo. Kimsingi ni shuhuda wa uwelewa mdogo sana juu ya mambo mbali mbali ya kwenye jamii ulio ndani ya waandishi wa hili gazeti...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubairy bin Ally, ametaka viongozi wa dini nchini kuheshimiwa na jamii ikiwemo kutekeleza mahitaji yao ya msingi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Yapata siku ya tatu leo bomba hazitoi maji. Tunaomba mamlaka husika watatue hili tatizo kwani dada zetu na akina mama wanapata tabu yakwenda mbali kutafuta maji. Tukiachana na hilo wenye watoto...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom