#HISTORIA DONDOO MUHIMU KUELEKEA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR SHUJAA "ALIYETOSWA"
Sheikh Suleiman Takadir alikuwa mwanaharakati mzalendo na mwanazuoni wa Kiislamu...
Kijiografia inajulikana kuwa
The Sun as a star is the source of all light and heat on the earth....
Kwa maana ya kuwa jua ndiyo chanzo kikubwa cha mwanga wa duniani na joto vilevile,
Nimekuwa...
Usiku mwema unakuwa hivi:
Au hivi
Kama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?
Vyumba vya namna hii vina...
Habari wadau,
Leo nimetoka zangu job, nikasema nipitie kwa jamaa nlimwachia kazi anibanie CD ya nyimbo za Manton..Nimefika pale jamaa bado ajamaliza, basi nikasema nikae nisubirie maana nyimbo...
Wanajamvi, hivi wafanyabiashara wana muda maalum wa kutoa risiti za efd?
Wenye biashara na wazoefu, pia hata mamlaka husika inaweza kutusaidia kwenye hili!
Jambo lililonifanya nihoji hili ni...
Pale ambapo Mwizi anaiba bila kujua anayemuibia ni mbobezi kwenye sayansi ya uchawi au ulozi
Basi bwana huyu wa huko nchini Uganda aliiba Subwoofa ya Mzee mmoja kwenye duka lakini katika hali ya...
Ofisi ya mkoa ya Wakala wa Barabara (Tanroads) imeamua kusimamisha ubomnoaji wa nyumba 1,200 zilizopo eneo la kati ya Ubungo na Kimara kwa kipindi cha kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya...
Wana Jf,Nimekuwa nikifatiria kwa ukaribu masuala ya kisiasa yanayoendelea kwa sasa, na nimegundua jambo kubwa linalo sababisha kudumaa kwa ushindani kisiasa, vyama vya upinzani vinakilaumu CCM na...
Habarini za mchana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba mwongozo wa kupata mita namba ya luku kwa ajili ya kujaza umeme. Mimi ni mgeni kwenye suala hili la umeme kwani nimezoea vibatari...
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.
Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Bbc swahili kwa bandiko lenu (waongo siwa kweli)
nimesikitishwa na maelezo yenu juu ya illuminat jinsi gani uandishi wenu si wa kiutafiti .(kanjanja)
Kusema kundi la illuminat Lipo au kuliongelea...
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini...
Kupotea kwa maji yanayozalishwa kumeongeza tatizo la uhaba wa wa maji katika maeneo mengi nchini. Hali hiyo hulifanya jiji la Dar es Salaam kupata maji ya bomba kwa mgao katika maeneo yake ili...
Vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka huu (2017) hata kama amemaliza "form 6" wana:-
1.akili tegemezi.
2.Maadili mabovu--matusi muda wote,kuvaa kata k,Kusalimia ziro, kudharau wazee n.k...
Ndugu wana jamvi,
hebu pitia dalili hizi uone jinsi ambavyo watu wengi ni walevi wa UMASKINI. Je umeona wangapi? katika familia, majirani, makazini, mashuleni, vyuoni kila kona. ungeambiwa ufanye...
Utajiri (kutoka neno la Kiarabu) ni wingi wa vitu vya thamani na wa vyanzo vya mapato ambavyo nchi au mtu anamiliki.
Ingawa kimsingi ni suala la uchumi, unahusika sana na maadili, kwa kuwa mali...