Mwizi anapokutana na Mchawi

Mwizi anapokutana na Mchawi

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,817
Pale ambapo Mwizi anaiba bila kujua anayemuibia ni mbobezi kwenye sayansi ya uchawi au ulozi

Basi bwana huyu wa huko nchini Uganda aliiba Subwoofa ya Mzee mmoja kwenye duka lakini katika hali ya kushangaza alipofika kwake alivamiwa na kundi la nyuki mwili mzima ambao hawakuondoka mpaka aliporudisha subwofa hiyo kwa mwenyewe

Jamaa analia kama nyau yani [emoji1][emoji1][emoji1]

 
Nawasubiri kwa hamu Wanasayansi wa JF, watueleze sababu za hao nyuki kumganda mtu, Kisayansi inasababishwa na nini?
 
Nawasubiri kwa hamu Wanasayansi wa JF, watueleze sababu za hao nyuki kumganda mtu, Kisayansi inasababishwa na nini?
Kisayansi huyo jamaa Mwili wake hasa ngozi ina melanin za asali na nta(wax) hivyo Nyuki huvutiwa navyo.
 
Huyu ni mfugaji wa nyuki anafanya mambo yake tu hapo kujipatia pesa.. sanaa hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom