Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,739
2,000
Kijiografia inajulikana kuwa

The Sun as a star is the source of all light and heat on the earth....

Kwa maana ya kuwa jua ndiyo chanzo kikubwa cha mwanga wa duniani na joto vilevile,

Nimekuwa nikijiuliza source nyingine ya Nuru ni ipi? tofauti na jua?

Nuru ilikuwapo kabla ya jua!! source yake ni nini?
Hii ya kuwepo Nuru kabla ya jua nimeipata kutoka

Genesis Chapter 1:3
And God said "let there be light" and there was light......the first day

this proves that light was created before The Sun..

Jua linakuja kuumbwa siku ya nne
Genesis 1:14
And God said let there be lights in the vault of the sky to separate the day from
the night, and let them serve as signs to mark sacred times, and days and years...........the forth day

Thats is from the Holy Book. Bible

Naamini humu ndani kuna wataalamu sana wanaoweza kuja hapa
na tukajadiliana kwa hoja..

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light. Allah, the Almighty, says: [Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light.] (Al-Furqan: 61)
And, [And We have made (therein) a shining lamp (sun).] (An-Naba': 13)

The Scientific Facts:
The energy of the sun (universal atomic pile): The energy of the sun is generated by the burning of hydrogen, which is the main constituent of the sun that transforms it into helium deep within, where there is very high density, pressure, and temperatures reaching 15,000,000°. This leads to a nuclear reaction and fusion of four hydrogen atoms to make one helium atom. The leftover energy from this reaction is released in the form of electromagnetic energy divided into short wave rays, infrared rays, and ultraviolet rays.
This means that the sun obtains its energy from within through natural nuclear reaction under very high pressure, heat, and density as if it is a mega atomic pile made to provide earth with light, warmth, and energy.
The sun is considered a star and is a luminous celestial body, whereas the moon is a planet; a dark celestial body that reflects the light it receives from stars and the sun as do all the other natural satellites of the planets (the moons).

Facts of Scientific Inimitability:
More than fourteen centuries ago, the Ever-Glorious Qur'an indicated the difference between stars and planets exemplified in the difference between the sun and the moon.
Modern astronomers only discovered this fact recently after the telescope was invented and after applying photometric and spectrogram researches on stars and planets.
Stars are luminous celestial bodies whereas planets are dark celestial bodies that reflect the light received from stars and the sun as do all other natural satellites of the planets and (moons).
The sun is a mega atomic pile swimming very fast in space and has many various forms of light, heat, and energy. It is not just a bright disk; rather it is like a shining lamp, whereas the moon is a planet that reflects the light of the sun to lighten the night on earth.
This fact was described in these two honorable verses fourteen centuries ago, then we must ask ourselves, who told Prophet Muhammad r about it but Allah, the Most High!

Source: The Sun is a Great Lamp, and the Moon Gives Light
 
Balacuda

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,390
2,000
Mahali popote kwenye biblia ukikuta Mungu mwenyewe ndo anaongea au Yesu anaongea, then take it very careful kwani in most case huwa ni cryptic au coded messege lakini in real sense alitenga katika ulimwengu wa mawazo/ fikra alitenganisha mambo mema kutoka katika maovu
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,325
2,000
Binadamu ukitaka kujua muujiza wa uumbaji wa Dunia na vyote vilivyomo ndani ya dunia,pamoja na sayari zake zinazozunguka dunia,ni wazi utakuwa unaumiza kichwa chako tu.

Hivi umewahi kujiuliza kitu kimoja tu,inawezekanaje dubwasha kubwa kama dunia,mwenyezi Mungu aliliumba kwa kusema tu,dunia kuwa,na papo hapo dunia ikatokea,na hapo hapo,pamoja na ukubwa wake wote wa dunia na pamoja na kuelea hewani,bila ya kushikiliwa na.kitu chichote,na pamoja na kuwa dunia wakati wote inazunguka,lakini tokea kuumbwa kwake,haijawahi kusogea tokea eneo lake aliloliweka Mungu,hata kwa sentimeta moja!!

Ndiyo maana inanenwa,mwacheni Mungu aitwe Mungu,ikiwa na maana kuwa utukufu na uwezo wa Mungu,hauwezi kuufananisha na kitu chochotw kile!!
 
Elisha Chuma

Verified Member
Jul 22, 2013
266
250
Hiyo nuru ipo giza ni totoro sana lakini kunaweza kukawa hakuna mbalamwezi wala taa lakini ukawa unaona mbele na kutambua,hiyo nuru iliwekwa ili kutenga usiku na mchana lakini baadae MUNGU akaonelea atengeneze jua kuangaza dunia.

Note: nuru ilikuwa ni ya kutenga usiku na mchana ila jua lilikuwa ni kuangaza.hiyo nuru ipo lakini sio angavu kama ya jua.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
String Theorist

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
203
195
NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.

kama ilivyo andikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)

so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU Mgisa Mtebe

INDRODUCTION​

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);
• Vitu visivyoonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
• Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja

1. Vitu visivyoonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu vinavyoonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na kuumbika. (Waebrania 11:3) '… ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili) viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (wazi wazi)'

Wakorintho 4:18 Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).

2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa rohoni na upande wa mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu vinavyoonekana (mwilini) na upande wa vitu visivyoonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)

3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-photocopy au akai-print) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina original copy na photocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina soft-copy na hard-copy yake (yaani kina upande wa mwilini na wa rohoni).

1Wakorintho 15:44 "Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo"

4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.

BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.

UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO

1. Kumbe Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye jua na mwezi, kwasababu Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati jua na mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika siku ya nne!

2. Kumbe jua si chanzo cha Mwanga au Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali jua ni "kibebeo" tu cha kuleta mwanga duniani, lakini jua si chanzo cha Nuru inayoangaza duniani.

3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9

4. Kwa lugha rahisi; Mwanga au Nuru inayoangaza duniani, ina vyanzo viwili; kimoja ni kipo katika ulimwengu wa mwili na kingine kipo katika ulimwengu wa roho.

5. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo kabla ya Kanuni za Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo, Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.

7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika Ulimwengu wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika Ulimwengu wa roho.

8. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, "Mimi ni Nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."

10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"

11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9

12. Luka 4:1-4 "Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana". kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba, Afya ya mtu haitoki katika mkate tunaokula tu, bali kwa katika Neno litokalo katika kinywa cha Bwana Mungu.
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,739
2,000
Binadamu ukitaka kujua muujiza wa uumbaji wa Dunia na vyote vilivyomo ndani ya dunia,pamoja na sayari zake zinazozunguka dunia,ni wazi utakuwa unaumiza kichwa chako tu.

Mkuu hebu niambie ni sayari gani zinazozunguka Dunia? hii ndiyo naisikia toka kwako

Hivi umewahi kujiuliza kitu kimoja tu,inawezekanaje dubwasha kubwa kama dunia,mwenyezi Mungu aliliumba kwa kusema tu,dunia kuwa,na papo hapo dunia ikatokea,na hapo hapo,pamoja na ukubwa wake wote wa dunia na pamoja na kuelea hewani,bila ya kushikiliwa na.kitu chichote

Hata force siyo chochote?
jaribu kuwasoma kina Newton kwa uzuri zaidi

na pamoja na kuwa dunia wakati wote inazunguka,lakini tokea kuumbwa kwake,haijawahi kusogea tokea eneo lake aliloliweka Mungu,hata kwa sentimeta moja!!

Dunia huwa inazunguka kwenye Orbit mkuu ndiyo maana tunapata majira ya mwaka

Ndiyo maana inanenwa,mwacheni Mungu aitwe Mungu,ikiwa na maana kuwa utukufu na uwezo wa Mungu,hauwezi kuufananisha na kitu chochotw kile!!

Hebu soma title ya thread mkuu halafu ndiyo ukomment tena..
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,739
2,000
Note: nuru ilikuwa ni ya kutenga usiku na mchana ila jua lilikuwa ni kuangaza.hiyo nuru ipo lakini sio angavu kama ya jua.

kwa hiyo mkuu unataka kuniambia wewe, kuwa usiku na mchana havisababishwi na kuzunguka kwa Dunia?
ila vilitengwa tu?
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,739
2,000
Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light. Allah, the Almighty, says: [Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light.] (Al-Furqan: 61)
And, [And We have made (therein) a shining lamp (sun).] (An-Naba': 13)

The Scientific Facts:
The energy of the sun (universal atomic pile): The energy of the sun is generated by the burning of hydrogen, which is the main constituent of the sun that transforms it into helium deep within, where there is very high density, pressure, and temperatures reaching 15,000,000°. This leads to a nuclear reaction and fusion of four hydrogen atoms to make one helium atom. The leftover energy from this reaction is released in the form of electromagnetic energy divided into short wave rays, infrared rays, and ultraviolet rays.
This means that the sun obtains its energy from within through natural nuclear reaction under very high pressure, heat, and density as if it is a mega atomic pile made to provide earth with light, warmth, and energy.
The sun is considered a star and is a luminous celestial body, whereas the moon is a planet; a dark celestial body that reflects the light it receives from stars and the sun as do all the other natural satellites of the planets (the moons).

Facts of Scientific Inimitability:
More than fourteen centuries ago, the Ever-Glorious Qur'an indicated the difference between stars and planets exemplified in the difference between the sun and the moon.
Modern astronomers only discovered this fact recently after the telescope was invented and after applying photometric and spectrogram researches on stars and planets.
Stars are luminous celestial bodies whereas planets are dark celestial bodies that reflect the light received from stars and the sun as do all other natural satellites of the planets and (moons).
The sun is a mega atomic pile swimming very fast in space and has many various forms of light, heat, and energy. It is not just a bright disk; rather it is like a shining lamp, whereas the moon is a planet that reflects the light of the sun to lighten the night on earth.
This fact was described in these two honorable verses fourteen centuries ago, then we must ask ourselves, who told Prophet Muhammad r about it but Allah, the Most High!

Source: The Sun is a Great Lamp, and the Moon Gives Light

sijaona jibu la moja kwa moja!!!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
sijaona jibu la moja kwa moja!!!

Scientifically yalioandikwa kwenye bibilia kuhusu "light" kama ulivyo quote hapo juu hayawezi kuthibitishwa lakini hayo ya kwenye Qur'an yanathibitika ki science kama unavyojisomea..

Sijui umeelewa au nikufafanulie zaidi?
 
Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,372
2,000
NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.

kama ilivyo andikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)

so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU Mgisa Mtebe

INDRODUCTION​

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);
• Vitu visivyoonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
• Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja

1. Vitu visivyoonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu vinavyoonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na kuumbika. (Waebrania 11:3) '… ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili) viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (wazi wazi)'

Wakorintho 4:18 Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).

2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa rohoni na upande wa mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu vinavyoonekana (mwilini) na upande wa vitu visivyoonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)

3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-photocopy au akai-print) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina original copy na photocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina soft-copy na hard-copy yake (yaani kina upande wa mwilini na wa rohoni).

1Wakorintho 15:44 "Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo"

4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.

BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.

UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO

1. Kumbe Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye jua na mwezi, kwasababu Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati jua na mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika siku ya nne!

2. Kumbe jua si chanzo cha Mwanga au Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali jua ni "kibebeo" tu cha kuleta mwanga duniani, lakini jua si chanzo cha Nuru inayoangaza duniani.

3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9

4. Kwa lugha rahisi; Mwanga au Nuru inayoangaza duniani, ina vyanzo viwili; kimoja ni kipo katika ulimwengu wa mwili na kingine kipo katika ulimwengu wa roho.

5. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo kabla ya Kanuni za Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo, Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.

7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika Ulimwengu wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika Ulimwengu wa roho.

8. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, "Mimi ni Nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."

10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"

11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9

12. Luka 4:1-4 "Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana". kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba, Afya ya mtu haitoki katika mkate tunaokula tu, bali kwa katika Neno litokalo katika kinywa cha Bwana Mungu.

Aisee we jamaa ni noma sana

Umejibu majibu mazito mno, kama ni spana ya kufungulia baiskeli basi wewe ni ile spana mafundi baiskeli tunaitaga "spana mbaula"
 
msapwat

Member
Jun 26, 2012
75
95
Sahih International
Allah is the Light of the heavens
and the earth. The example of His
light is like a niche within which
is a lamp, the lamp is within
glass, the glass as if it were a
pearly [white] star lit from [the
oil of] a blessed olive tree, neither
of the east nor of the west, whose
oil would almost glow even if
untouched by fire. Light upon
light. Allah guides to His light
whom He wills. And Allah
presents examples for the people,
and Allah is Knowing of all things.
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,359
0
Binadamu ukitaka kujua muujiza wa uumbaji wa Dunia na vyote vilivyomo ndani ya dunia,pamoja na sayari zake zinazozunguka dunia,ni wazi utakuwa unaumiza kichwa chako tu.

Hivi umewahi kujiuliza kitu kimoja tu,inawezekanaje dubwasha kubwa kama dunia,mwenyezi Mungu aliliumba kwa kusema tu,dunia kuwa,na papo hapo dunia ikatokea,na hapo hapo,pamoja na ukubwa wake wote wa dunia na pamoja na kuelea hewani,bila ya kushikiliwa na.kitu chichote,na pamoja na kuwa dunia wakati wote inazunguka,lakini tokea kuumbwa kwake,haijawahi kusogea tokea eneo lake aliloliweka Mungu,hata kwa sentimeta moja!!

Ndiyo maana inanenwa,mwacheni Mungu aitwe Mungu,ikiwa na maana kuwa utukufu na uwezo wa Mungu,hauwezi kuufananisha na kitu chochotw kile!!

And you truely believe that one dude made the earth? And who made the other billion stars that are being discovered every day? Je Mungu bado yuko katika uumbaji? HUWA NAPATA MUDA MGUMU SANA KUAMINI KAMA KWELI KUNA MTU ANAWEZA KUAMINI KWA DHATI KATIKA MUNGU, INAHITAJI KUJITOA UFAHAMU HASA!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom