Katika shauri lililokuwa linaendelea leo mahakama ya kisutu ambapo mahakama iliridhia watuhumiwa papa wa madawa kulevya kina Shkuba na wenzake wawili shauri lao lipelekwe nchini marekani...
Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti!
Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu...
Nawasalimu wapendwa, heri ya mwaka huu! Nililipia ada ya kama sita hivi Decemba mwaka jana shule ( ) lakini nimeghairi na kumuhamishia mwanangu shule nyingine ya awali. Sasa nilipowaambia...
Wasalaam,
Nianze kuweka wazi kwamba ninachokiandika hapa kimejikita kwenye uzoefu binafsi katika maisha yangu, jamaa na rafiki zangu.
Katika jamii yetu kumekuwa na mijadala tofauti kuhusu uhusika...
Habari...
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ukiwa mfanya biashara, mfano unamiliki duka la simu, Na simu unaagiza Toka China.
Je, wakati wa kuagiza simu si kuna koda ambazo TRA watataka...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa, serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha za kukosa maadili kwenye mitandao na kuwachukulia...
Mwezi mmoja uliopita, Ndugu.Zakayo Chacha Wangwe (diwani wa Kata ya Turwa - Tarime mjini) aliyehamia CCM leo, aliandika maneno haya.
________________________________________________
Hakuna kitu...
Wadau wote wa
*JF
*Wana CCM
*Wazalendo
*Watanzania
Jamani poleni na pilika za siku nzima na pia nawapongexa sana kwa ushindi wa kishindo na pia natoa shukrani kwa kuunga mkono agenda yangu ya...
kama mnavyokumbuka baada ya halotel kupunguza vifurushi nikategemea hawa voda wanaweza wakawa mkombozi lakini mambo ndivyo sivyo ukishangaa ya halotel utayaona ya voda baada ya jana kuweka bando...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Naomba kufahamishwa ni Jinsi gani naweza kufika Kinshasa Kwa njia ya Barabara,ningependa kufahamu ni njia gani ya karibu,gharama na changamoto zake njiani,
Pia...
Ni kilio chetu madereva mzani huu umekuwa hauna usahihi wa vipimo vyake, na mara nyingi magari yamekuwa ya kuzuiwa pale Taifa kwa madai kuwa yamezidi uzito na kupelekea wahusika kuandika faini...
UJAMAA (SOCIALISM):Una ng'ombe wawili, unampa mwenzio ng'ombe mmoja kisha mnatafuta dume linazalisha mnaendelea na maisha .
UKOMUNISTI: Una ng'ombe wawili, serikali inawachukua wote kisha itakua...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa ipo haja ya nchi kushauriwa kuvaa vazi la batiki au kitenge kwa ajili ya kuenzi utamaduni wa nchi.
"Ipo haja ya...
Tuliambiwa kuanzia January mosi 2018 local channels zilizo kuwa zikitoswa malipo ya kabla zitakuwa free,chaajabu wembe ni uleule....malipo ya kwa local channels katika king'amuzi cha startimes...
Habari zenu!
Sijasikia mamlaka ya hali ya hewa ikitoa tahadhari kuhusu mvua kunyesha Dar.
Usiku huu hapa nilipo kuna mvua kali na ya upepo kama saa moja sasa na wala sielewi hii mvua imetokea...
UKWELI MCHUNGU
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe...
Jumla ya wanafunzi watano wa kike wa shule za sekondari Tandahimba waliopata mimba mwaka 2017 wamekamatwa pamoja na wazazi watano baada ya kufanyika msako na kufanikiwa kukamatwa kwa watu hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.