mjoli wa kweli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 630
- 388
Habarini za mchana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba mwongozo wa kupata mita namba ya luku kwa ajili ya kujaza umeme. Mimi ni mgeni kwenye suala hili la umeme kwani nimezoea vibatari na kandili za kule kijijini kwetu.
Asanteni