kumbe Bbc nao ni Makanjanja

kumbe Bbc nao ni Makanjanja

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,452
Reaction score
2,262
Bbc swahili kwa bandiko lenu (waongo siwa kweli)
nimesikitishwa na maelezo yenu juu ya illuminat jinsi gani uandishi wenu si wa kiutafiti .(kanjanja)
Kusema kundi la illuminat Lipo au kuliongelea ni propaganda ya watu wenye msongo wa mawazo si kweli .
kwamba eti sababu nyingine ni umaskini ndio unaofanya mtu aseme lipo si kweli .
Tujiulize swali ambalo haliitaji hadi uwe profesor je ni zile ishara wanazoonyesha viongoz wanasiasa wasanii yaan walikaa pamoja watumie au na wao wanaugojwa wa kisaikolojia ndio maana wananyoosha au kuonyesha ishara mbali mbali (hahaaahhaaàhahahaha(kicheko)
Hoja nyingine eti wanaoeneza illuminat kwamba wapo wafugwe maana wanaeneza uzushi hahahaha nyie ndio mnaamini wachawi hawapo wakati watu wengi wanakufa kwa ushirikina kuliko magojwa mengine yote,
ILLUMINAT WAPO NDIO MATAJIR WANAPANGÀ WATU WAISHI VIPI WAPO WANA KIU YA Damu DAMU(DRACULA)
# BbcSwahili
source
Swahili - BBC Swahili
habari-42250810.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom