Ni kazi Nyeti unajilipua tuu na kubadilisha Uraia hii inahusisha hata ambao ni Askari hasa waliotoka Ngerengere na Monduli wamesema pia hawana Waalimu/instructors wa kijeshi.
IT HAS been a long...
Makondakta wote hususani wa mabasi ya mikoani hasahasa kampuni ya Kandahari inayoendesha safari zake katika mikoa ya Singida,Kilimanjaro na Arusha wanapaswa kujitahidi kujenga sifa nzuri...
Wadau kuna kitu kime nishangaza saana huku kwetu kisiwani . Unajuwa katika kipindi hiki cha awamu ya tano tuna aminishwa kwamba kuna uwajibikaji mkubwa wa watumishi wa uma lakini pengine kwenye...
Ilikuwa tarehe 22 December tukiwa ndani ya bus aIna ya coster tukitokea dar tukielekea bk. Baada ya kufika kutuo cha polisi Muleba tulisimamishwa na askari wakiongozwa na askari mwenye nyota na...
Kutokana na hali ya kiuchumi ilivyo na habari ya kufilisika mabenki pamoja na sheria ya Amana za pesa zetu benki ikifilisika, ni afadhali kutohifadhi pesa nyingi benki kwa vile hakuna usalama...
Shikamoo popote uliko Mh. rais, mimi nakusalimia nikitokea Kinore hapa mkoani Morogoro!
Baada ya salamu ninakuuliza wewe rais na waziri mliofungia viroba na baada ya viroba watu wakaamia kwa...
SPIKA, kwa wale Watakaokuwa Wanaropoka ropoka, Watoe nje ili waropokee Nje. Na Wakiropokea nje , mimi nitawashughulikia -Mr president voice.
Hii kauli Unaitafakari vipi kwenye inch yenye...
Wanajamvi habari;
Ikiwa bado mwaka ndio umeanza basi ni vyema pamoja na mambo mengine tukamfahamu vyema huyu Babu Sea na familia yake kiujumla, ambaye yeye na mwanae walipata msamaha wa rais baada...
MK ULTRA SEDUCTION[emoji769] is rooted in advanced psychology and mind control strategies,works on virtually every female type on the planet - from the homely girl-next-door to the top supermodel...
Wadau
Mwanadamu kwa miaka mingi ameshirikia mambo ya kishirikina kwa imani ya kutatua shida zake.Hata hivyo ushirikina ulishazuiwa kwa mujibu wa vitabu vitakatifu.
Zipo ''faida'' za ushirikina...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miaka 30 jela watu watano akiwemo
Mfanyabiashara Moriss Malianga maarufu kama ‘Rais wa Sinza’ baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la unya’nganyi wa...
Tukio hilo lilitokea usiku wa mkesha wa Mwaka Mpya Shangani Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Hassan Nassir Ali, akizungumza na Nipashe kisiwani hapa jana, alisema...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato nchini kupitia kampuni ya Yono Aunction Mart imeendesha mnada wa magari 140 yaliyotelekezwa bandarini.
Licha ya watu wengi kujitokeza kwenye mnada huo uligubikwa...
Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji...
WATU wawili wameuawa wilayani Kalambo mkoani Rukwa katika matukio tofauti, likiwamo la mtoto kuuawa kwa kupigwa ngumi na mateke tumboni na baba yake.
Katika tukio la kwanza lililotokea Januari 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.