Polisi Kanda maalumu Dar yakamata watuhumiwa 3 wa unyang'anyi wa silaha

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,242
2,000
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini Burundi mwenye mafunzo ya ukomandoo na alitumika kufanya mauji kadhaa jijini DSM.
Capture-19.jpg
 

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
OK, hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri.

Ila mwachieni kijana wa picha za hostels za UDSM itakuwa uzalendo zaidi.
 

10000

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
778
1,000
Hiyo ndio kazi yenu hongereni kama sio movie, ila mwachane dogo arudi lecture mnampotezea muda tuu wakati hamna kesi
 

king Davidson

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
252
1,000
Hahaha komando akamatwe na hao wananchi wakakamavu (Askari polisi)? njoo Hapa kizuka ama hapo kwenye detach ya mbezi beach kwa ulinzi wa rais na evacuation uone kama hivyo viaskari vinaweza mkamata commando (SPF)
 

Jay master

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
587
1,000
Hahaha komando akamatwe na hao wananchi wakakamavu (Askari polisi)? njoo Hapa kizuka ama hapo kwenye detach ya mbezi beach kwa ulinzi wa rais na evacuation uone kama hivyo viaskari vinaweza mkamata commando (SPF)

Inategemea mkuu,,,kwan komandoo sio binadamu???? Risasi huwa haziingii mwilini mwao au,,, hawatumii mawasiliano yoyote ya Simu au njia zingine za mawasiliano, ,,,
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,762
2,000
Hiyo ndiyo kazi yenu, sio kuhangaika kwenye mitandao na kukamata vijana wanaoonyesha mapungufu mbalimbali
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
11,533
2,000
Kwa vyovyote, watakwenda kuonyesha silaha/ au watuhumiwa wenzao then watajaribu kutoroka chini ya ulinzi wa polisi, polisi watawapiga risasi na wakati wanapelekwa hosp. watafariki kutokana na majeraha na kutokwa damu nyingi! Ni utabiri tu sina maana ya ukweli.
 

Ozel Harekat

Member
Aug 26, 2017
65
125
Hahaha komando akamatwe na hao wananchi wakakamavu (Askari polisi)? njoo Hapa kizuka ama hapo kwenye detach ya mbezi beach kwa ulinzi wa rais na evacuation uone kama hivyo viaskari vinaweza mkamata commando (SPF)
Akiharibu anatandikwa vizuri tu labda police hawajaamua.
 

donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
891
1,000
Polisi kanda maalum ya DSM imefanikiwa kukamata watuhumiwa watatu walijihusisha na unyanga'anyi kwa kutumia silaha na mauji kwa kutumia ak47. Kati ya watuhumiwa hao alikuamo raia kutoka nchini Burundi mwenye mafunzo ya ukomandoo na alitumika kufanya mauji kadhaa jijini DSM. View attachment 644524

Hiyo MAUJI ni maksudically au!?

Madereva wanaendesha,
Walimu wanafundisha,
Madaktari wanatibu,
Watangazaji wanatangaza,


IKITOKEA WAKASHINDWA KUWAKAMATA NDIO IWE HABARI,
SIO WAKIWEZA.

Lakini nimekumbuka kuna wengine wanatafsiri

PC- Police Constable
PC-Press Conference
PC-Poleni Chadema
PC-...............
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,419
2,000
Picha zi wapi au ndio wale walioshukiwa pale Lumbumba street wakati tukipata sekera zetu njemba zimeshiba moja inapiga piga picha na zingine zipo karibu na gari zinadai tushajikoki na tunasubiri amri yako tu... zikadakwa fasta moja ya boda boda ikakimbia na ikakamatwa uzuri mtu wa cctv camera ndani ya ofisi ya Muarabu alishtukia mienendo yao...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom