Nasikitika kwajulisha msiba wa Dr Agustino Goodman,uliotokea nyumbani kwake segerea juzi usiku,mazishi yanatarajiwa kufanyika Hapo Hapo nyumbani kwake jumatatu
Kwa kifupi Dr Goodman alikuwa...
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Wandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya...
Eee Mwenyezi Mungu asante sana kwa siku ya leo.
Usiku huu tunajikabidhi kwako, tunalikabidhi Taifa letu la TANZANIA kwako, na pia tunamkabidhi kwako Rais wetu mpendwa Mh John Pombe Magufuli...
wakuu habari z saiz naomba msaada kidogo . kuhusu sheria za kazi..mdogo wangu kike anafanya kazi serikalini yeye ni lecture chuo fulani. kenda masomoni akaawa unapewa mshahara wake kamili kwa...
Abdul Nondo,ameshinda uchaguzi uliofanyika leo na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa mtandao wa kutetea wanafunzi Tanzania( TSNP.) baada ya kupata kura 49 za NDIO dhidi ya 1 ya HAPANA
Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara.
Kutokana na...
Habar wana jf
Leo nilikuwa naangalia habar za michezo nikamkumbuka hemed kivuyo mzee wa vionjo vionjo
Ila kwa sikuhz za karibuni sijamsikia na wala sijamuona itv na mm ni mtamaji pendwa wa itv...
Habari,
Najua wenzangu na mimi wengi tulikuwa na matumaini sanaa na huyu tumuitaye baba la mitandao bongo (Airtel),
Tulisifia sanaaa kwa service zao nzuri katika package zao.
Hali si hali...
habari wana jukwaa
Wakati tukiuanza mwaka mpya si vibaya tukijikumbusha nyuzi na mada zilizokuwa hot mwaka uliopita. kwa maoni yangu nilitegemea Mods atuletee mchanganuo bora zaidi.
Kwa upande...
Ule mchezo wa kishamba wa waajiriwa wa jeshi la polisi nchini Tanzania wa kudhalilisha Raia wasio na hatia umeendelea tena bila wasiwasi wowote.
Taarifa zinaonyesha kwamba Ofisa mmoja wa Jeshi la...
Habari za weekend wanaJF, natumaini mu wazima na wenye afya tele.
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuhisiwa kupotea katika mazingira tatanishi naamini wengi wetu humu mmeshawea kukutana na baadhi...
Malori kadhaa yamekua yakibeba mchanga huku yakisaidiwa na vijiko vinavyoaminika toka Manispaa.
Mh Makonda ukifika karibu na huu mto kuna Bar moja wanaita kwa Mangi hii bar iko busy masaa 12 watu...
Waliojengeaa wanajuaà madhara yake.
Mto Kawe umeruhusiwa kuondoolewa mchanga baada ya mvua ya muda mrefu
Nawaasa ndugu zangu mnaojengea ule mchanga ni mimba ya mapacha unaweza kujuta milele...
Serikali itatumia zaidi ya shilingi bilioni 2.4 kwa ajili ya ujenzi wa daraja kwenye Kijiji cha Mbuchi litakalounganisha Kijiji cha Mbwela vilivyopo Mbuchi wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani, ikiwa ni...
Wadau!
Kauli ya mgonjwa aliyelazwa hukaririwa kama ni kauli ya mtu ambaye hana akili timamu, kauli ya mgonjwa si kauli ya kuiamini hata kidogo!
Hata katika mirathi, wosia unaoandikwa na mgonjwa...
Ukipitia masoko ya bidhaa mtandaoni hapa nchini hasa kupatana utakutana na matangazo ya bidhaa na vifaa vya umeme kutoka Zanzibar kwa bei ya chini sana ukilinganisha na huku bara.
Kutokana na...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imeanika majina 57 ya kampuni, shule, vyuo na mashirika ambayo waajiri wake hawawasilishi makato ya wanufaika wa mikopo kwa wakati.
Uanikaji wa majina hayo...
Ndugu zangu heri ya mwaka mpya 2018,
Naomba kuuliza, je mgao Divident wa HISA za SWISSPORT za mwisho wa mwaka 2017 hazipo mbona kila nikichungulia Bank hakuna kitu?.
Kila mwaka tunagawiwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.