ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Picha walizoonyeshs muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amateur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Kwahiyo sisi ni vipofu?!
 
Picha walizoonyeshs muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.

Kinga ni bira kuliko tiba

Umeskani (have you scanned to establish the criticality of the case)

Unataka watu wafe ndipo ufamye nini?

Je kuna spear ya uhai popote pale kwamba mtu akifa tunanunua uhai tumpatie?
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Zikifikisha miaka miwili hizo nyufa zitakuwaje (fanya projection)
 
Back
Top Bottom