Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.
Kwa Marekani...
Habari za mida hii wana jamvi??
Nahitahitaji msaada wa haraka wa kimawazo juu ya jambo hili!!
Mdogo wangu wa kike anasoma chuo cha Sokoine (SUA) -Morogoro na jana mida ya saa 1 jioni wakati...
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani...
Napata ukakasi kukubaliana na dhana ambayo hivi sasa imekuwa kubwa ya matangazo na promotion kubwa sana katika vyombo vya habari juu ya michezo ya kubahatisha.
Uhamasishaji huu mkubwa...
Habari zenu wakuu.
Nina swali naomba wajuvi wanidadavulie.
Nimesikia wahanga wa benki zilizofilisiwa wanaweza kurudishiwa kiasi chini ya 1.5m kutoka kwenye benki ya amana.
JE UTARATIBU UKOJE?
Nina...
Dar es Salaam. Kampuni ya Wasafi Classic (WCB), inayomilikiwa na msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ wanatarajia kufungua televisheni na redio Februari mwaka huu.
Haya...
Baada yakujibana mwaka mzima Nilifanikiwa kusave mil 5...kwa mwaka wote 2017 ...hii nimeisave ..kitokana na shughuli zangu za building construction ambapo kwa wiki uwa nalipwa sh..laki mbili...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miaka 3 jela ama kulipa faini ya TSh. Milioni 6 mfanyabiashara maarufu Naushad Suleiman (63) na Ali Makame (36) waliokiri kukamatwa wakisafirisha...
Mkazi wa kijiji cha Mwakisebe wilayani Chemba mkoani Dodoma amepoteza maisha, huku idadi kubwa ya watu wakikosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomoka na nyingine kuzingirwa na maji...
Baba mmoja jina lipo kapuni baada ya kugombana na mkewe na mke huyo kukimbilia kwa jirani ili kuokoa maisha yake kwa kumbebaMtoto mdogo wa jirani yake,cha kusikitisha Baba Huyo amejikuta...
Moto umezuka katika jengo la benki kuu jijini Mwanza asubuhi yaleo. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme.
Taarifa zaidi kukujia
Chanzo; ITV
Natumaini mnaendelea vizuri na ni wazima wa afya kwa mwaka huu mpya mm ni mwanafunzi ninayeingia kidato cha tatu mwakani na ninaamini nitafaulu kwa ufaulu mzuri lakini sins ada wazaz...
Polisi na wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine. Wakati mwingine wao wanalipwa mishahara mikubwa na marupurupu mengi kuliko watumishi wengine.
Swali langu ni kuwa kwanini watu hawa...
Kuna taarifa ya vijana 19 kufa na 17 kujeruhiwa vibaya katika ukumbi flani ambao sijapata jina lake ni katika sherehe za Eid huko Tabora. Kwa kirefu tutawaletea.
Mungu azipumzishe roho za...
Kilanglani anadaiwa kujichotea mafuta kutoka katika bomba hilo alilolipitisha chini ya ardhi.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limewakamata watu watano, akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi ya...
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapa muda wa miezi 4 wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko Urafiki linalojulikana kama Mahakama ya Ndizi kuhama katika eneo hilo kutekeleza agizo la...
Mada tajwa hapo denchani inahusika
Kuna wakat unaeza kufkir mtu anajina la uani kumbe ndo jina lake la kweli toka amezaliwa, sisemi kina Gudume, Mtanzania kizabizabena n.k ambao wapo humu tuu...
"RAIS MHE MAGUFULI
MAKAMO MHE SAMIA SULUHU
WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJAALIWA
MKU WA MKOA MHE POUL MAKONDA
WATANZANIA WENZANGU
Mim Wastara juma muigizaji wa filamu tanzania naandika ujumbe huu mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.