Sifa za vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka 2017

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka huu (2017) hata kama amemaliza "form 6" wana:-

1.akili tegemezi.
2.Maadili mabovu--matusi muda wote,kuvaa kata k,Kusalimia ziro, kudharau wazee n.k.
3.pumba mdomoni muda wote.
4.ujuaji mwingi-hata kwa mambo wasiyo na utaalamu nayo.
5.uwezo mdogo sana wa kubadili mazingira--badala yake mazingira (hasa mageni) ndiyo yanayowabadili wao.
6.Uwezo mdogo wa kuhimili misuko-suko au matatizo mazito---hukimbilia kujiua au kulikimbia tatizo.
7.akili finyu ya kujua chanzo cha tatizo au kitu kipya kinapokuja mbele yake kwa Mara ya kwanza kwa kutumia "akili ya kuzaliwa" ---Vijana wengi wanapoteza maisha/ kuangamia kila siku kwa kukosa au kushindwa kutumia "akili ya kuzaliwa"

Angalizo:- "akili ya kuzaliwa ni zaidi ya akili ya darasani"

Wenu wa siku zote,

Ahsanteni.
 
No 3, inatosha maana
Imebeba yote hayo
 
Ingependeza zaidi kama ungetoa na namna ya kuwasaidia.
Pia tuangalie tatizo liko wapi?
Je ni malezi?
Je ni kijana mwenyewe?
Je ni mazingira?

Ukiishia kuwalaumu tu namba 3 & 4 itaongezeka maradufu.
 
Yaaani ni kweli kabisa mkuu, yaani kuna katoto ka kaka yangu ndo kana 21 now na besi kubwa wakati nimekabeba kakiwa kadogo ila leo kananiambia "vipi bro?" aiseeee acha tu dunia imevaa tambara bovu
 
Vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka huu (2017) hata kama amemaliza "form 6" wana:-

1.akili tegemezi.
2.Maadili mabovu--matusi muda wote,kuvaa kata k,Kusalimia ziro, kudharau wazee n.k.
3.pumba mdomoni muda wote.
4.ujuaji mwingi-hata kwa mambo wasiyo na utaalamu nayo.
5.uwezo mdogo sana wa kubadili mazingira--badala yake mazingira (hasa mageni) ndiyo yanayowabadili wao.
6.Uwezo mdogo wa kuhimili misuko-suko au matatizo mazito---hukimbilia kujiua au kulikimbia tatizo.
7.akili finyu ya kujua chanzo cha tatizo au kitu kipya kinapokuja mbele yake kwa Mara ya kwanza kwa kutumia "akili ya kuzaliwa" ---Vijana wengi wanapoteza maisha/ kuangamia kila siku kwa kukosa au kushindwa kutumia "akili ya kuzaliwa"

Angalizo:- "akili ya kuzaliwa ni zaidi ya akili ya darasani"

Wenu wa siku zote,

Ahsanteni.
wewe pia ni miaka 21 bila shaka..
 
Mimi naongeza lingine wana penda kula chipsi, burger, mayai ya kisasa vitu rojo rojo hasa vijana wa naniliu huko Jijini huko
 
Vijana wengi waliotimiza miaka 21 mwaka huu (2017) hata kama amemaliza "form 6" wana:-

1.akili tegemezi.
2.Maadili mabovu--matusi muda wote,kuvaa kata k,Kusalimia ziro, kudharau wazee n.k.
3.pumba mdomoni muda wote.
4.ujuaji mwingi-hata kwa mambo wasiyo na utaalamu nayo.
5.uwezo mdogo sana wa kubadili mazingira--badala yake mazingira (hasa mageni) ndiyo yanayowabadili wao.
6.Uwezo mdogo wa kuhimili misuko-suko au matatizo mazito---hukimbilia kujiua au kulikimbia tatizo.
7.akili finyu ya kujua chanzo cha tatizo au kitu kipya kinapokuja mbele yake kwa Mara ya kwanza kwa kutumia "akili ya kuzaliwa" ---Vijana wengi wanapoteza maisha/ kuangamia kila siku kwa kukosa au kushindwa kutumia "akili ya kuzaliwa"

Angalizo:- "akili ya kuzaliwa ni zaidi ya akili ya darasani"

Wenu wa siku zote,

Ahsanteni.
Ungese...
 
Naongezea...
8. Hawapendi kazi za kutumia nguvu.
9. Wanapenda ngono sana.
10. Wanapenda starehe.
11. Wanapenda kupiga mizinga.
12. Ni wavivu/wamelegea mno.
13. Wameacha kufanya ibada.
14. Hawaheshimu wakubwa.
15. Hawana maadili mazuri.
 
Back
Top Bottom