Tanesco kwenye kalenda yao wametumia picha ya mji unaowaka taa ulaya kufikisha ujumbe Wa "Tunaangaza maisha yako"

mswangilishi

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
534
1,000
IMG_20171205_152556.jpg
 
donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
891
1,000
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Nadhani hiyo ni Dar ila wameongeza manjonjo kwa computer na pia sidhani kama we hujui hiyo ni dar
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,011
2,000
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232

unahisi hawajielewi mkuu...Wanajielewa sana ..sema nchi ya wapigaji hii''kwahiyo wanajitahidi kuwafumba fikra wasiojielewa ili wawaone wao kuwa niwawajibikaji...
yaani naweza kusema nchi hii imejaa matapeli tu...huu nao niutapeli tena ulio naked bila hata ya uwoga...
 
kadagala1

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
5,880
2,000
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Dar hapo
 
Jamco_Za

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,331
1,225
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232

Hapa Dar, Kuna Exim Tower, Uhuru Height, Benjamini Mkapa Tower, Holiday in, Ramada Encore na Jengo jipya la NSSF nafikiri linaloendelea kujengwa
 
MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
6,986
2,000
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Mkuu mbona ni Darisalama hiyo au hujawahi fika mjini karibuni?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom