VIDEO: kuhusu extension joints, Hebu msikilizeni huyu mtu alijulikana Kama "bush"

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,151
2,000
Tukagueni vyeti vya meneja;

hajasema anaongea kwa mamlaka ya vyeti vyake.

Kasema mimi sio muhandisi lakini nimekulia magorofani, nimefanya kazi magorofani, magorofa nayafahamu!:Do_O:cool::):D

Halafu kasema ghorofa liko poa kabisa lakini kwa sasa wanasubiri ripoti ya wahandisi!
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,992
2,000
Wasomi wa bongo waliopo serikalini mimi siwaelewi,ukienda nchi zingine kama marekani au hata kenya hii issue ingekua imetokea kwao wangetoa majibu mazuri mpka mtu usiye na idea ya ujenzi unaelewa sasa majibu ya wasomi wetu ya ki kanjanja
 
Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,029
2,000
Wasomi wa bongo waliopo serikalini mimi siwaelewi,ukienda nchi zingine kama marekani au hata kenya hii issue ingekua imetokea kwao wangetoa majibu mazuri mpka mtu usiye na idea ya ujenzi unaelewa sasa majibu ya wasomi wetu ya ki kanjanja
Huyu alisomea ualimu na Kama sikosei ni wa masomo ya Sanaa.... Hamna kitu anajua kuhusu construction.
 
Chipompo

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
617
500
Huyu alisomea ualimu na Kama sikosei ni wa masomo ya Sanaa.... Hamna kitu anajua kuhusu construction.
Ndio ni wa Sanaa tena ile sanaa ya kujifunga kaniki na kunengua,angekaa kimya asubiri wenye fani yao walete majibu,sasa huyu anajibu kama alivyo jibu - hatuombei na wala hatupendi iwehivyo mara puuuuu vijana wetu chali siataonekana nguva
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,348
2,000
Wasomi wa bongo waliopo serikalini mimi siwaelewi,ukienda nchi zingine kama marekani au hata kenya hii issue ingekua imetokea kwao wangetoa majibu mazuri mpka mtu usiye na idea ya ujenzi unaelewa sasa majibu ya wasomi wetu ya ki kanjanja
WaMarekani licha ya kuwa na vipindi vya baridi Kali na joto kali, nyufa ni mwiko, na ikitokea kampuni litakiona cha mtema kuni kwa dola watakazolipa na ukarabati juu. Pengine ikawa mwisho (kifo) cha hiyo kampuni, kwani hamna atakayewapa tenda wababaishi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom