Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi, ametaka viongozi wa dini nchini kuheshimiwa na jamii ikiwemo kutekelezewa mahitaji yao ya msingi ili waweze kujikimu kimaisha.
Akizungumza na...
Habari ndugu,samahani naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanamke ambae amepita mafunzo ya kijeshi kuweza kupewa cheo cha CDF,na kama hawezekani ni kwa vigezo gani vinavyopelekea asipewe...
Habari zenu Jf niliomba ushauri kuhusu kuomba kuruhusiwa na mke wangu ninywe Kwa Uhuru.
Nilimuomba Jana usiku Kwa unyenyekevu kabisa huku nikimwambia nilishauriwa na daktari kabla sijamuoa Bali...
Mamlaka ya Mapato TRA,mkoa Wa Arusha, imevifunga vituo vitano vya mafuta kwa kosa la kukwepa kodi kwa kushindwa kutoa risiti za mauzo wakati wa kutoa huduma ya mafuta kwa wateja.
Aidha mamlaka...
Habari wadau
Niende moja kwa moja kwenye mada
Hii halmashauri watendaji wake ni wabovu sana katika ofisi ya mkurugenzi
Nilichokiona pale ni kujuana,undugu na rushwa vimetamalaki
Binafsi nimekua...
Leo nimefika tanesco kwa ajili ya kufatilia utaratibu waliouweka mpya wa kukusanya madeni kwa wadaiwa.Kifupi utaratibu huu ni gunia la misumari kwa watu wa kipato cha chini na hasa ukizingatia kwa...
Mamlaka ya Mapato nchini kupitia kampuni ya Yono Aunction Mart imeendesha mnada wa magari 140 yaliyotelekezwa bandarini.
Licha ya watu wengi kujitokeza kwenye mnada huo uligubikwa na malalamiko...
Habari wakuu,
Kichwa chajieleza hapo juu,
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni nimeajiriwa miezi 6 ilopita, kutokana na ugeni wa eneo ninaloishi hua nikitoka kazini nakua nipo tuu sina cha kufanya...
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Chikopelo Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Mwanaidi Yakobo ni miongoni mwa mamia ya wanafunzi wasichana nchini wanaopitia changamoto za kukosa...
Pesa huwa zimeishia kwenye bata za sikukuu na kwa kutembelea familia zetu na ukweni.
Ada za watoto na kodi za hapa na pale.
Nini kifanyike kujinasua na taabu za mwezi january? Wapi tunakosea.
DC Sumbawanga Dkt. Khalifan Haule, amepiga marufuku biashara ya chakula (mama lishe), biashara ya pombe za kienyeji, harusi pamoja na kupika chakula misibani katika eneo la Muze na Mtowisa...
Hoja yangu ipo hapa Mfungwa yeyote ambae sio raia wa Tanzania akitoka ama kuachiwa gerezani anakabidhiwa kwa Ubalozi wa nchi yake au anatakaiwa kuondoka nchini mwenyewe kama uwezo anao.
Kwa kina...
Husika na kichwa cha habari
Nilipewa jina la kienyeji na wazazi ambapo kwa maana yake katika Jamii sio nzuri.
Kila nikijitambulisha lazma nikejeliwe. Sio mtu mzima, hata wadogo. Huwa naogopa...
Ni wamawake wachache ambao hupatwa na matatizo ya mshtuko wa moyo wanaoweza kufa ikiwa watapata matibabu sawa na yale wanayopewa wanaume, uchunguzi umeonyesha.
Utafiti huo uliangazia matokeo ya...
Uyole Mbeya,Hoteli ya Westpine iliyojengwa hivi karibuni kajengo kake ka mbele na fence viliwekwa X wakati Wa ujenzi.Lakini baadaye kidogo aliendeleza Ujenzi na sasa amewekewa alama ya X ya...
Jana tuliendelea na zoezi la uwekaji mpaka baina ya eneo la hifadhi ya bonde la Ardhi Oevu la Kilombero na eneo la vijiji katika wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro.
Pamoja na kuambiwa kuwa...
Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.