Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

Princemwalejr

JF-Expert Member
Nov 9, 2017
496
500
Usiku mwema unakuwa hivi:


Au hiviKama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?

Vyumba vya namna hii vina ubaya gani?

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom