Kwakweli jiji lilikuwa limefikia pabaya sana, kila kona mateja, vituo vya mabasi ndo usiseme, ila baada ya vita ya jemedari Makonda.
Sasa jiji limeanza kuwa safi na salama kwa upande huo, pole...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema tangu alipotangaza kuanza kukamatwa kwa mashoga, amebaini kuna mkakati unawaohusisha watu hao zaidi ya 150 kutaka kumwangamiza.
Kauli hiyo...
TANZANI ee, nchi yangu ee, yapendeza ee, karibu muione, sura yake yavutiaa, kila konaa, kwa maziwa na bahari, nchi kavu na mipakaa
Hii ni sehemu ya wimbo maarufu sana ambao ulipendwa na watu...
Habari za mchana wana JF
Tunahitaji mabadiliko ya katiba na sheria ya uchaguzi kwa haraka.
Ifike mahali tuchague mtu na siyo chama, sheria zimekaa vibaya, zinalazimisha kuchagua mtu na chama...
Kwa mliobahatika kuzunguka ama kuishi mataifa mengi duniani hili ni swali kwenu, Je na wananchi wa mataifa mengine ndivyo walivyo? je wanakaribiana hata kidogo na sisi kwa unafki,
Refer...
Nimesikitishwa kupata taarifa kuwa mchakato wa uandikishaji wa vijana wanaotaka kujitolea JKT umegubikwa na rushwa ya wazi kabisa kwa baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Dar es salaam.
Hii inanyima...
Naelewa jukwaa hili linatembelewa na watu wengi, hivyo naomba msaada wenu hasa Sumatra na Polisi.
Kuna basi la kampuni ya best line lenye namba za usajili T916 ADV lililotokea Dar asubuhi...
Mlipuko huo ulitokea mbele ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya elimu kwa mkoa wa Dar es Salaam na kuhusisha...
Hivi ni kwa nini haianzi na siku aliyozaliwa Mtume Muhammad badala yake inaanza na ,,hijri“ au siku ambayo Mtume alienda Madina, tofauti na dini nyingine kama Ukristo wa Kizungu, Kalenda yao...
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:
Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh
But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?
katika jamii kuna mambo mengi ya aibu, mengine yanawatokea watu kwa bahati mbaya ila mengine wanayafanya kwa makusudi wakiyaona ya kawaida ila wanaambulia aibu kubwa!
Kulala na mke/mume wa mtu...
Salaam wadau,
Kwa siku tatu zilizopita nilikuwa mkoani Tanga, na niliweza kutembelea chuo cha utumishi Kange, ambapo nilimpeleka ndugu yangu kuanza masomo hapo.
Chuo hiki ni muhimu hasa kwa mkoa...
Samaki hao watoka majini kwenda kuwaona ndugu zao wa sokoni. Wadai kuwa kuendelea kunyamaa kunawaongezea ndwele.
Kwa sauti moja wanapaza sauti zao wakisema "Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha...
Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu.
Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu...
Habari wana jf,
Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye...
Note: I am not good at writing stories. Maelezo yanaweza kukosa mpangilio.
Kufanya political coverup ninafikiri hii ndio kazi ya msingi ya kisiasa ya waziri ya mambo ya ndani ya nchi. Hii sio...
Usaliti alioufanya Tundu Lisu dhidi nchi yangu kwa maslahi yake binafsi na wachahe wa chadema yamerudi na kuimaliza chadema, sasa kwa mara ya kwanza ktk Historia ya chadema watu wanahama kwa spidi...