MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,555
- 39,227
Habari za mchana wana JF
Tunahitaji mabadiliko ya katiba na sheria ya uchaguzi kwa haraka.
Ifike mahali tuchague mtu na siyo chama, sheria zimekaa vibaya, zinalazimisha kuchagua mtu na chama.
Katika mazingira hayo, mtu akihama chama basi lazima uchaguzi mdogo ufanyike. Sheria inapaswa kuwa flexible, iruhusu wabunge kuhama vyama wakati wowote wautakao.
Kuhama kwao kusihusishwe na nafasi walioyonayo. Kwa mantiki hiyo basi, mbunge anapohama chama, kiti hicho cha ubunge kitoke kwenye chama alichotoka kwenda kwenye cha chama alichohamia.
Hii itaokoa gharama za kufanya chaguzi ndogo nyingi. Kwani tetesi zilizope ni kuwa migration of MPs from serengeti to masai mara ndiyo kwanza zimeanza.