Chris Lukosi akitema yai.....

Chris Lukosi akitema yai.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,005
Reaction score
142,602
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

 
Last edited by a moderator:
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?



WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu
ya ajali katika msafara
wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia
Botwana kwa dada yake
ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada
ya kupata kazi uk nayeye
alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na
kuukana utanzania
pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika
kama mkimbizi wa kisiasa na
njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden
kwa bahati mbaya alipata
ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani
alilazwa kwa muda mrefu na
aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni
aliyokuwa akiifanyia kazi
ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada
ya muda aliacha kazi
na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari
mabovu Tanzania na
baiskeri za wizi kutokea maeneo ya
barking&dagenham na baada ya muda
alianza biashara nyingine ambazo wengi
wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada
ya kukutana na mbunge
Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri
atapata tender za
kusafirisha mizigo na magari ya
chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini
kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja
free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi
ccm ambapo hajawahi kuwa
mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi
kuhusu chadema na hii ni
kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi)
kutoka Tanzania ambao
ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara
hizo.Ametumia muda mwingi
mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema
na anaichafua.
8.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa
pressure na inasemekana ni
muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress
zinamsumbua naomba
kutoa hoja
kumbe ni huyu...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe jamaa ndio kisa anaishambulia cdm ili ajikombe kwa wanene angalau apate mkate wa kila siku! Pole lukosi hayo yote ni maisha
 
Watanzania na kelele zetu zoooooooooooooote bado hata mambo ya media tunategemea Kenya!
 
Mkuu na hapo nilipigwa majungu vibaya sana.

Nakumbuka kuna bosi wangu mmoja alikuwa anaitwa TWAHA wakati huo mkuu wa kituo nusu anitoe roho kwa sababu ya baiskeli tu..

I wish nitakutana nae siku moja mitaani nimkumbushe..

duuh ya kweli hayo? Au ndo kujitetea kiaina? Jipange watu wapo vizuri kwa kumbukumbu
 
Huyu Lukosi Ukitaka Afurahi Mnunulie Ulanzi, Ukimnulilia Lita 4 Ya Ulanzi Tu Urafiki Unaanzia Hapo,na Ndio Maana Anajipendeka Kwa Ma Ccm Ili Apewd Ulanzi (ulasi)
 
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?



Wivu mwingine wa kike sana. Inashangaza sasa wanaume wa tanzania wamekuwa wambea na tabia zote za kike. Mtu anatafuta maisha anahitaji support na kumtia moyo. Nyinyi mbona kazi zenu hamsemi? Au mlitaka akae ndani acheze kidali poo na mamazenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom