habari wapendwa,
nimeona mahali gari imenakshiwa kwa mapambo,
nikaipenda,kuulizia kwa watu nimeambiwa ndio inaitwa vinly print
sasa wakubwa embu nielezeni kwa watu mlioifanya hii business...
Najaribu kuwaza nini Chanzo na hii inaashiria nini? Kama group sio la ujasiliamali tena lenye sheria kali basi mengine yote ni kama jukwaa la udaku na utani. Huu Ni utafiti mdogo wa makundi ya...
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa...
TAKWIMU ZA ELIMU ZINAHITAJI ZAIDI YA TUNACHOKIONA AU KUSIKIA.
Ni ukweli usiopingika kuwa elimu yetu inahitaji zaidi ya maneno ya ushawishi tunayoyasikia mara kwa mara.
Tusishangae kusikia kuwa...
Marble products are rapidly replacing wood products in a wide array of applications such as table tops, kitchen tops,etc. Tanzania is currently experiencing a boom in the stone extraction...
Wakuu salamu.
Idadi kubwa ya watu wanamiminika kwenda Wilaya ya Meatu Kata ya Mwandoya kwa bibi kupata Ndagu ya utajiri.
Watu kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, wakiwemo wafanya biashara...
Nijuavyo mimi,vyuma vikikaza vizuri ndipo mashine hufanya kazi vizuri,lakini vyuma vikilegea,mashine huleta matatizo,je ni sahihi kutumia ugumu wa maisha kwa kulinganisha na vyuma kukaza? au...
Nimeshawahi kuona watu kadhaa wakitumia milioni 1 mpaka 5 kusaka ajira. Sasa huyu niliyemuona hivi karibuni kwangu amevunja Rekodi, imetumika Tsh 15,000,000 ili kuisaka ajira fulani.
Niulize tu...
Sisi wakazi wa gongo la mboto na vitongoji vyake limekuwa ni jambo la kawaida kila ifikapo saa mbili usiku umeme unakatika bila sababu maalumu as if mitambo huwa Inapumzishwa suala la...
Wanajamvi poleni na majukumu.Mwishoni wa wiki iliyopita Waziri wa Afya aliwataka wakurugenzi wa halmashauri zote kuwapatia WATUMISHI wapya wa kada ya AFYA mishahara yao ambapo ni miezi mitatu...
Saivi maofisini (hasa ya serikali) pesa ni ngumu sana na ni chungu kuila!
Matumizi ya pesa lazima yatoke juu BoT na ni lazima hicho kipengere kiwe na hela!
Hela ni ya moto! Wakubwa wana woga...
Pole na majukumu ndugu zangu.
Wengi huwa wanatamani sana kufika na ama kufanya kazi nchi za magharibi hususani nchi za Bara la Europe. Amerika na Asia. Hap nazungumzia hasa wale Watanzania ambao...
Swali hili limekuwa likiuulizwa kila mara kutoka kwa wateja na watumiaji wa Products hizo lakini wahusika wamekuwa wakidai kuwa Products hizo ni international/world wide na ubora wake upo...
Dereva taxi mashuhuri wa Moshi mjini, Frank (35), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kusafirisha kilo 216.3 za dawa za kulevya aina ya Mirungi.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, mtuhumiwa huyo...
Jumla ya Sh 16.7 bilioni zimekusanywa katika kipindi cha Julai na Septemba mwaka jana kupitia tozo ya kodi za majengo.
Akizungumza leo Januari 30, 2018 bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa Fedha, Dk...
Leo January 30, 2018 Watu wanne wamefariki Dunia katika kata ya Murieti kwenye eneo la mlima CCM baada ya kuangukiwa na maporomoko ya mawe na kuwafukia ardhini wakati walipokuwa wakichimba mchanga...
Habari za muda huu Wakuu!
WanaJF wenzangu huu mfumo wa Polisi na TRA wa kuangalia kama gari lako au leseni yako inadaiwa (Kupitia namba *152*75#) unadanganya sana sana. Huu mfumo kwa kweli una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.