Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, ni matumaini yangu kuwa mko njema kabsa kwa uwezo wa Allah!! Naomba niende moja kwa moja juu ya hoja yangu Kumekuwepo na utaratibu wa wamiliki wa vyombo vya usafiri hasa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii video inaonesha Hindi ambavyo pass za kusafiria yaan passport hutengenezwa Hichi kiwanda kipo nchini uingereza maalumu kutengeneza passport za waingerezay, Nauliza kwani za kwetu Tanzània...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wasiojulikana wamechanganya maji na mafuta kwenye mashine ya kupandisha na kushushia vitu vizito inayotumika kubomoa jingo la shirika la umeme Tanzania (Tanesco). Hatua hiyo ndiyo...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Wakuu kuna taarifa inatembea kwenye groups za WhatsApp, kuna wadukuzi wanadai kudukua taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania TBL na wanataka bei ya bei ishushwe.
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Kwa masikitiko makubwa naandika uzi huu, jitihada kubwa na nzuri za ujenzi wa reli ya standard gauge toka Dar to Mwanza - Kigoma , Burundi na Rwanda zinaendelea, lakini najiuliza kwanini ianzie...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikiwa kama mzazi mzalendo nachukua nafasi hii kujulisha umma kuhusu watumishi wachache wa serikali wanaorudisha nyuma juhudi za Mh.Rais John Pombe Magufuli katika kuhakikisha kila mwanafunzi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Raia wa Nigeria, Christian Ugbechi (26) aliyekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kukutwa na pipi 59 za dawa za kulevya aina ya Cocaine, leo Januari 31, 2018...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wasalaam Mkuu wa Mkoa Wa Arusha katika kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu amesimamia kikamilifu mchakato wa utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara za Mkoa wa Arusha yenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi nchini umepelekea Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kuanza kufikiria kutoa mafunzo ya uuguzaji wa dawa hizo kwa ngazi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bana matumizi na fanya kazi kwa bidii · people lose their jobs · they stop eating out, · they stop buying goods, · spending slows · then businesses...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo amemtembelea muigizaji mkongwe wa filamu na maigizo nchini Tanzania, Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali. Mke wa Rais...
6 Reactions
47 Replies
16K Views
Wanaume watatu wamefikishwa Kituo cha wagonjwa wa kipindupindu kimakosa baada ya kutumia dawa ya kuongeza ushababi katika tendo la ndoa. Wasamaria wema baada ya kuwaona wanaume hao wakitapika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za mchana huu, Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vyema kuijenga Tanzania ya viwanda. Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada; Mimi ni msikilizaji wa Radios na mtazamaji wa...
4 Reactions
67 Replies
13K Views
Imagine unamkopesha mtu pesa million 10, anaahidi kukurejeshea katika mda mliokubaliana. Mda wa kukurejeshea unafika anakupotezea, unahangaika kumsumbua anakujibu jeuri unanyamaza miezi ukijua...
13 Reactions
163 Replies
17K Views
jaman mie nina ndugu yangu aanastaafu disemba 2018 naomba kujua kama atalipwa kwa mfumo wa zaman au ndo atalipwa kwa mfumo mpya? maana nimeambiwa formula mpya mtu atalipwa just 38% tu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tupeane experience ya mizinga huko mitaani na jinsi ya kuongeza ufundi wa kujificha kukwepa mizinga Nawasilisha
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Salama lakini? Binafsi nilitokea kumpenda sana Huyu dkt Slaa kipindi kile akiwa mwana siasa. Hii ilichagizwa na Siasa zake na uwakilishaji wake wa Hoja zenye tafiti. Napenda sana mtu wa data...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hawa ndio wababe wa mathematics miaka yote. 1.Karl Friedrich Gauss(1777-1855) 2.Isaac Newton (1642-1727) 3.Archimedes of Samos(287-212B.C) 4.Pythagoras(567-500B.C) 5.Girolamo Cardan(1501-1576)...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
WANANCHI wa Kata ya Inyeze wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamelalamika kwa diwani wa kata hiyo kwa kuvamiwa na kundi kubwa la fisi kijijini.Hayo yamesemwa katika kikao cha baraza la madiwani na...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom