Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Note: I am not good at writing stories. Maelezo yanaweza kukosa mpangilio.
Kufanya political coverup ninafikiri hii ndio kazi ya msingi ya kisiasa ya waziri ya mambo ya ndani ya nchi. Hii sio issue ya kuongea na media tu. Hapana haitoshi. Lazima mtu mzito sana aende aonane face to face na wananchi wa Ukonga mazizini.
Tukio la Ukonga Mombasa lilinahitaji media coverage pamoja na physical visit kutoka kwa moja ya maofisa wa ngazi ya juu ya jeshi la police ama wizara ya mqmbo ya ndani aidha awe IGP, kamanda wa kanda maalum ama waziri wa mambo ya ndani. Bila kufanya hivyo tukio kama hili linaweza kutumiwa na baadhi ya wanasiasa kama karata yao dume ya kutafutia umaarufu wa kisiasa bila kujua pia wanachafua taswira ya jeshi kwa wananchi. Mimi sijui ni kikundi gani cha watu walifanya tukio lile ila ninachojua ni kwamba ile ni kadhia ya kiusalama kwa wananchi wa eneo husika inayohitaji mazungumzo ya ana kwa ana (face to face) kati kiongozi mkubwa wa jeshi na wananchi na sio tu media coverage.
Let's imagine mimi nimepata taarifa mbaya tuseme msiba wa mke wa ndugu yangu wa karibu sana. Nikimpigia simu na kumpa pole haitakuwa na uzito kama ambavyo nitaenda moja kwa moja mpaka eneo ambapo msiba ule unafanyika. The same applies to this situation. Wananchi wa Ukonga wanahitaji kuonana na high ranking official ili kuweza kuondoa dukuduku zilizojaa mioyoni mwao kutokana na tukio lile. Hapa ndipo inapokuwa dhana ya mahusiano mema baina ya police na wananchi.
Inaweza kuonekana hii issue imeisha juu kwa juu, but political repercussions zake ni kubwa sana na za kimya kimya.
Ni muhimu sana kwa mtu mzito mmoja akatoka ofisini akaenda Ukonga kuwaambia wananchi kuwa jeshi lipo kwa ajili ya usalama wao na mali zao na sio kwa kuwadhuru wao.
Hii ndio kazi ya kisiasa ya waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
I stand to be corrected.