Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Usaliti alioufanya Tundu Lisu dhidi nchi yangu kwa maslahi yake binafsi na wachahe wa chadema yamerudi na kuimaliza chadema, sasa kwa mara ya kwanza ktk Historia ya chadema watu wanahama kwa spidi ya super sonic, hali imekuwa mbaya kiasi kwamba hata Wabunge wakuchaguliwa pia wanaondoka, hii siyo kawaida, hakuna namna nyingine ya kulielezea hili isipokuwa laana ya Usaliti aliyoianzisha Tundu Lisu, na bado, hilo lichama atabakia Tundu Lisu na Mbowe tu, karma is a bitch, ...