Kampani wapendwa ni muhimu.

Dr Louis

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
426
500
Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu.
Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu sehemu za starehe sipendelei kwa sababu maalumu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom