Ingawa Ibara ya 12 (1) ya Katiba ya Tanzania inasema binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Kwamba watu wote ni sawa...
Siku za hivi karibuni katika posta ya Arusha (Meru na Clock Tower) kumekuwa na upotevu mkubwa wa vifurushi hususani vile vinavyotoka nje ya nchi. Hata pale ambapo kifurushi kina kuwa na tracking...
Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu...
Rais Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Disemba.
Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa...
Watu wanane wamefariki dunia katika mazingira tofauti kuanzia Jumatatu hadi juzi wilayani Kiteto mkoani Manyara, huku chanzo cha vifo hivyo kikiwa bado hakijajulikana.
Wakati wakazi hao...
Jamani hii sio fair!
Watu maarufu ndiyo wakilia shida kidogo wanasaidiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi sisi kajamba nani hakuna kitu kama hicho.
Kwa wale wafutiliaji wa kipindi cha njia panda cha...
Shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu limesababisha rais huyo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), atumikie nafasi hiyo kwa miezi sita baada ya kujeruhiwa vibaya.
Lissu, ambaye kwa sasa...
Hili swali najiuliza sana hivi vindege vidogo vinavyoruka mikoani kama coastal,zana air auric kwann vinapaa na rubani mmoja? Hivi mfano siku rubani mmoja anapata tatizo angani itakuwaje? Mamlaka...
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu.
Boyfriend...
Habari zenu wapendwa?
Nilikuwa naomba kuwauliza kwa wale wazoefu.nafikira kufanya online masters degree katika business administration kutoka kwenye vyuo vya nje ya nchi hasa vile vilivyoko...
Hadi sasa January inaisha darasa la 4 hawana kitabu chochote sasa walibadilisha mtaala wa nini? Kama Hawana Uwezo wa kutoa Vitabu?
Alafu Mtaala wao eti waishie darasa la 6? Mko serious kweli? Ma...
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesitisha utoaji wa huduma za usafiri kwa kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Express Limited baada ya kushindwa kulipa kodi ya Sh500 milioni.
Mkurugenzi wa Huduma...
Leo tarehe 18.1.2018 wakazi wa Kigamboni tumeisoma number kwa kirumi ni baada ya usafiri wa pantoni kusumbua.hapa ferry kuna pantoni tatu lakini kwa siku ya leo inayofanya kazi ni moja tuu.tena...
Habari wote mliopo humu.
Kwa wajuzi wote wa wa simu nawaombeni msaada wa kurekebisha simu yangu ya Nokia lumia 630. Tatizo ni airplain(flight mode) imekataa kutoka na ninapo jaribu kuiweka Off...
Inasemekana kwamba kule uwanja wa mapilau watu wamekuta sembe ufipa wakazima mitambo wakazira kutuma picha kifupi kumebuma..
Wana kino wameamua ccm hoyeee
Baada ya rais Trump kutuita SHITHOLE, binafsi sikufurahishwa.
Lakini cha ajabu zaidi ni kuwa miongoni mwa wanajf kulishadadia hilo tusi kwa sababu ya mapungufu tuliyonayo.
Kwa mfano mtu akikosea...
Binafsi baada ya kuona tangazo hili nimejikuta nikijawa na shauku ya kufuatilia kitakachojadiliwa maana serikali za awamu mbalimbali nchini zimekuwa na mtihani linapokuja suala la viongozi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.