Unajua kuna wakati mtu unaweza kuingiza pesa kijinga sana kwa mtu ambae hajui kitu fulani ambacho ni chepesi sana kwako. Kwa mfano kwangu mimi kipindi simu zinaingia kule kwetu kijijini...
Sabalkheri wana JamiiForums.
Naanza kwa usaili na nitamaliza kwa Usaili. Kusaili ni kuuliza masuala ya msingi kwa kutumia mantiki, kuhoji, kudadisi, kudurusu kadhalika kutanabaisha kwa...
Wasalaam wana JF
Leo nimeona tujadili kidogo tabia za kada mbalimbali kwenye KiUtumishi. Naombe tuanze na kada ya Maafisa rasilimali watu/Utumishi/Tawala.
Majukumu yao makubwa ni kusimamia...
Walikuwa wakiruka kuelekea Dar es salaam wakiwa ktk ndege ndogo yenye uwezo wa kubeba abiria wanne. Habari kamili kuhusu jina la ndege na majina ya marubani itawajia humu jamvini.
Hata hivyo...
Kusema Ukweli mie huwa Sinaga Mood kabisa na Hizi Tips and Tricks za Kusave na Kusaidiana zinazoibuka kila mara maana Nyingi naonaga kama Ni za Watu ambao hawakukaa Chini kufikiria ila...
Naomba kuelimishwa juu ya manufaa ya ujenzi wa hii Standard gauge railway.
- Kwanza kabisa tunayo reli ya TAZARA ambayo haitumiki kabisa, wakati huo huo kuna malori mengi sana yanafurika Zambia...
Wanabodi
Wale wenye access kuangalia Clouds TV, angalieni kipindi cha Shilawadu, leo wanatuonyesha upuuzi wa fumanizi la kupangwa!. Halafu kipindi hiki ndio rais wetu anakipenda na anakiangalia...
Habari za majukumu ndugu zangu wapendwa.
Katika utafiti wangu binafsi nimejaribu kulifanyia uchunguzi wangu binafsi hili swala.
Nimegundua kwamba bibi kizee anaeishi kijijini ana nguvu ya kufanya...
Katoko kana miaka 4 , mume?????
Aah mi sipendagi kuna bibi anamwiitaga mwanangu mume kwani hana mume hadi amwiite mwanangu mume bwaanaa
Ananiaribia mtoto bwana.
Nb: kuna pia watu wana tabia ya...
HONGERA SANA WAZIRI WA ELIMU PROF. JOYCE NDALICHAKO KWA KUFAFANUA SUALA LA KATAZO LA MICHANGO MASHULENI.
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa sana wa maelekezo yanayotolewa na viongozi wa ngazi Zach juu...
Mtu mweye PGD ni yule ambaye ameshapata Degree ikiwa ni sifa pekee kwa mwenye PGD KWA KISWAHILI NI STASHAHADA ya Uzamili. Swali Je mwenye PGD KATIKA FANI FLANI atakuwa sawa level na aliyepata...
Wanabodi,
Wengi tuna tatizo la uchungu wa moyo kwa kujua au kutokujua. Hii inaweza kuwa ni sehemu ya kikwazo katika maisha yako kwasababu ya kushindwa kuachilia hilo na kusamehe.
Nimeweka link...
Habar za kaz wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya kutuma na kupokea pesa kutoka nje
Nahitaj maelekezo ili niweze tumiwa hela toka Kenya ...nmeskia moneygram naomba kujuzwa utaratibu wake
kutoka ITV MUBASHARA, kuna hafla ya chakula cha mchana kwa watu wenye ulemavu,,maazimisho haya yapo chini ya IPP MEDIA,,nilichokipenda haswa ni namna maandalizi yalivyotulia,hongereni sana IPP na...
*MADHARA YA KUWASHA DOUBLE HAZARDS KWENYE ZEBRA NA MAKUTANO YA BARABARA*
(Hazard Warning Lights)
*Utangulizi*
Mara kwa mara tumekutana na madereva ambao wakiwa wamesimama kwenye zebra kupisha watu...
Mtu mjinga mara nyingi huwa mvivu pia.
Mtu mjinga hapendi kujitesa katika kutafuta ukweli wa jambo ila upenda habari za moja kwa moja mfano habar za udaku na mapenzi, hapa utakutana na kundi...
Nimekuwa nikifuatilia umri Wa viongozi mbalimbali wakongwe Wa taifa hili kusema ukweli umri wao hauna uhalisia.
Ukilinganisha umri wao na Wa Mwinyi ambaye ana 93 ambapo ukimtizama bado ni kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.