Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jambo wadau, Nlikuwa nafuatilia sakata hili tangu last week, ama kwa hakika hawa jamaa walikurupuka. Kwanini nasema hivyo? 1. Wangetakiwa kufafanua watu hawa kama wote wapo kwenye makosa...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Waziri wa elimu akiwa kwenye ziara ya kushtukiza kwenye Chuo kikuu cha Kampala, amesema kwa mujibu wa kanuni za bunge kwa mtumishi wa umma, zinazuia mtumishi wa umma kuwa na ajira mbili. Waziri...
1 Reactions
83 Replies
12K Views
Eti ukimuoa changudoa/dada poa, kwa ndoa ya kanisani anatakasika?! Huwa nasikia story yule dada mchafu sana, au ana mapepo, lakini wanaolewa na kua wake wema na kuwa na familia nzuri tu. Je...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Kweli kufa kufaana, ikiwa hata machungu ya msiba hayajaondoka kuna taarifa kuwa wajasiriamali wameanza kukusanya rambi rambi kwenye mitandao kwa lengo la kupiga. Msemaji wa familia amesema...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wale waliopaswa kuishauri serikali kwa Haki ndio hao taasisi zao zimejaa madudu ya ajabu.....Wale wanatuhimiza kufanya toba ndio hao waliozidiwa na utajiri usio wa haki hadi wanahifadhi fedha...
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Wakati Mkuu wa Morogoro alikuwa Mh Mzindakaya wakati huo kulitokea mgomo mkubwa sana wa wakata miwa wa kiwanda cha sukari cha Kilombero wakiwa na madai tofauti kubwa ni maslahi duni mazingira...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya matukio kadhaa kutokea kufuata uchaguzi wa Siha na Kinondoni kuna baadhi ya mitandano imeanza kuhamasisha kufanya maandamano lakini yenye nia ovu kulingana na mambo wanayotaka yadaiwe...
3 Reactions
100 Replies
6K Views
Mtoto wa mwanadamu anategemea sana wazazi kwa makuzi ; , mtoto anaendelea kukua katika ubongo vizuri kama akipata malezi mazuri , kutoka kwa primary caregiver , ambao ni baba na mama . Kuna...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajibu wa Jeshi la Wanainchi wa Tanzania (JWTZ) ni: Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kufanya mafunzo na mazoezi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye ameielekeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kumfikisha mahakamani mkandarasi anayejenga jengo jipya la abiria uwanja wa ndege Songwe...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu, Kuna mambo mengine ukiyasikia utashangaa sana na/au hutaamini kabisa lakini ndo uhalisia wake unabakia hivyohivyo Kama hujui ni kwamba; 1.nchi mbili zilipigana vita sababu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika maandamano yaliyoitishwa na wanaChadema siku ya mwisho ya kampeni zao ambapo walikuwa wakienda kwa Mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni kwenda kushinikiza kutolewa kwa viapo vya mawakala wao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utumwa ilishamiri sana. Wanaume ndio...
27 Reactions
441 Replies
65K Views
Ndivyo maandiko yasemavyo....." angalieni ndege wa angani hawalimi wala hawavuni lakini Baba wa mbinguni huwalisha, je ninyi si zaidi kuliko hao?....basi msijisumbue eti mle nini au mvae...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
walimu waanza kuhama kwenda shule za msingi vp huko wilayani kwako tayari na vp posho wanatoa??? walimu hawana amani kabisa sababu ni walisha zoea maxingira secondary leo wanaenda msingi Walimu...
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Ukweli hakuna kitu kinachonikwaza na kunikera kama barua za kizungu mnazoniandikia kuhusu masuala ya biashara . Si kwamba wote tumesoma na isitoshe hiyo si lugha ya Taifa . Yaani napata adha kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mawazo yangu tu,ikiwa tutakua wote wamoja,tutumie Vizuri taaluma za watanzania toka vyama vyote kwa manufaa ya nchi ili kuiondoa nchi hapa ilipo sasa Tupo nyuma sana km nchi,hivyo ni budi tuwe...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Ni kwamba katika enzi za ukoloni suala la kuwaona watu wenye asili ya Afrika wakiwa wamembeba Mwarabu, au Mzungu lilikuwa ni suala lisilohaba hasa maeneo ya pwani. Vitendo hivyo vilifanywa hasa...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Majina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya 12:19 4 [disqus] Majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Na Masanja Mabula -Pemba BAKAR Khamis (25) mkaazi wa Mitondooni Wilaya ya Wete, anadaiwa kumnajisi (kumlawiti) mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne huko Shehia ya Piki Wilaya hiyo...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Back
Top Bottom