Moneygram

Moneygram

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Habar za kaz wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya kutuma na kupokea pesa kutoka nje

Nahitaj maelekezo ili niweze tumiwa hela toka Kenya ...nmeskia moneygram naomba kujuzwa utaratibu wake
 
Hahaha JF sio mchezo, anayekutumia pesa yeye anafahamu jinsi ya kutuma?! Akutumie kwa M pesa utazipata.
 
Mtumie majina yako matatu ya kitambilisho chako, alafu yeye anayekutumia akishatuma atapewa namba ambazo atakutumia wewe then unatafuta sehemu yenye huduma ya money gram unajaza fomu na zile namba ulizotumiwa alafu unakwaru mkwanja

N:B cha muhimu ni majina yako matatu na namba atakazokutumia
 
Back
Top Bottom