error term
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 388
- 624
Mtu mjinga mara nyingi huwa mvivu pia.
Mtu mjinga hapendi kujitesa katika kutafuta ukweli wa jambo ila upenda habari za moja kwa moja mfano habar za udaku na mapenzi, hapa utakutana na kundi kubwa la wavivu na wajinga.
Wao wanapenda raha zaidi na sio maarifa ( wema amerudi kwa diamondi, mume wangu anakibamia, natafuta mpenz hizi ni hoja chache ambazo utakuta wajinga wendi maana wanapata raha ya moja kwa moja.
Lakin pia wajinga wengi ni wavivu wa kusoma hata kama atakuta habari azipendazo kama za udaku na mapenzi na zikawa na meneno mengi bila picha anaweza asisome kabisa na akacomment habari bila picha haiogi ( maana yake anapenda zaidi kuona picha na sio kusoma mawazo ya mtu mwingine)
Sasa jiulize wewe upo wapi? Habari zipi unazipenda zaidi kuzichangia humu. Lakini kuweza kujua kuwa watanzania wengi ni wajinga na wavivu basi unaweza chukua muda wako na kuangalia mada zilizo changiwa mara nyingi, au jukwaa lipi linawafuasi wengi.
Ni muda wa kubadilika sana kwa kutumia fora kama hizi kwa kiasi kikubwa katika kuelimishana mambo fikirishi yatakayoungeza ugali na sio kuongeza watoto na wapenzi.