mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Mtu mweye PGD ni yule ambaye ameshapata Degree ikiwa ni sifa pekee kwa mwenye PGD KWA KISWAHILI NI STASHAHADA ya Uzamili. Swali Je mwenye PGD KATIKA FANI FLANI atakuwa sawa level na aliyepata shahada ya fani husika? au mwenye PGD atakuwa juu kidogo ingawa hamfikii mwenye Master?