Mchezo wa Ngumi uliochukua muda mrefu zaidi.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,200
facts_and_history-20180204-0009.jpg
 
Kuna lile pambano ambalo Chalie Chaplain alipigana na jamaa fulani. Filimbi ilipolia tu charlie Chaplain akakimbilia nyuma ya jamaa kama mkia
 
[emoji23] [emoji23] charlie alikua mizinguo sanaa!!..
 
Masumbwi yalipiganwa enzi hizo bana...siku hizi naona wanacheza blues na sweet reggae tu
Unaongela zamani ipi mkuu?

Wakati hiyo zamani watu mlikua mnakesha kusubiri pambano la Mike Tyson mpaka SAA kumi na moja alfajiri.

Alafu pambano lenyewe Mike Tyson anapiga mtu knock out round ya kwanza tu!

Siku hizi wanachukua muda zaidi. Boxers kama Maywether wanapiga riadha ulingoni mpaka zinafika round 12 wanavuta mamilioni!
 
Hivi kipindi Tyson anapigana ndiyo unaiita zamani?
Mimi naongelea enzi za akina Joe Louis (Brown bomber) aliyezaliwa May 13, 1914 huko Lafayette, Alabama. Aliyeweka rekodi ya kushikilia heavy weight championship kwa miaka 12 mfululizo. Ambaye enzi hizo kati ya 1937 na 1949, alikua akisimama ulingoni na akina Max Schmeling, Billy Conn n.k
 
Sawa sawa
 
Tyson na umbo lote lile sauti nyembamba!..
 
walikua wanaenda kula lunch wanarudi ulingoni.
 
Hivi kipindi Tyson anapigana ndiyo unaiita zamani?
Mimi naongelea enzi za akina Joe Louis (Brown bomber) aliyezaliwa May 13, 1914 huko Lafayette, Alabama. Aliyeweka rekodi ya kushikilia heavy weight championship kwa miaka 12 mfululizo. Ambaye enzi hizo kati ya 1937 na 1949, alikua akisimama ulingoni na akina Max Schmeling, Billy Conn n.k
Damn!

Hii kweli zamani. Wewe ni muhenga!
 
Back
Top Bottom