Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Muleba imefanikiwa kukamata tani 19 za samaki aina ya sangara waliovuliwa kinyume cha sheria. Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumearifiwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inaunganishwa na kubaki Mifuko miwili tu -Mfuko kwa ajili ya Watumishi wa Umma na Mfuko kwa ajili ya Sekta binafsi. Awali mifuko ilshindana kupata wanachama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mfanyabiashara James Rugemalila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi leo Ijumaa Februari 2, 2018 ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hajawahi kutibiwa Hospitali...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Uwekezaji wenu ni mkubwa na soko lenu vile vile ni kubwa mno. Kitu kimoja hadi sasa kimewashinda ni kuweza kuja na aina ya teknolojia ama madishi ambayo yanaweza kuhimili hari ya hewa ya hapa Tz...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu. leo tuongee na tusemezane ukweli juu ya wanajukwaa humu ndani kuanza kuijadili mikoa mingine kwa kejeli. Utasikia mara Geita, Kigoma, Lindi, Mtwara , Bukoba ooohhh hiyo mikoa inatukanwa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
**** watu wengi kula chakula bila pili pili haiwezekani ila kwangu pili pili ni optional naweza kula chakula bila hiyo na nika enyoy tu!
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Nimejinyima nikalipia 18000 iliniweza kutazama mpira wa Yanga lakini sipati picha zaid ya nusu saa,, kuna namba huwa wanatoa baada ya malipo hazipatikani....
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Hivi nyie mna akili kweli? Watumishi wa umma mna mambo.... Sisi wavuvi tunalea wenyewe,miaka 0-15 mtoto lazima apate maadili umlee mwenyewe. Ndio mda atapa mafundisho ya dini n.k Poleni sana ...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Habarini, Naomba kujua mishahara au malipo ya wastani ya watu wafuatao: Mhariri wa habari Videographer Presenter wa TV *Kwenye kampuni ndogo za Media kama Millardayo,Bongo5 au televisheni na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Shirika la Kimataifa la Girls Not Bride lenye makao yake London, Uingereza limeitaja Tanzania kuwa nchi ya 10 duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya ndoa za utotoni. > India inashika nafasi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinachoendelea Dar kwa zoezi lililobuniwa na bashite la kuwapa watu fulsa ya kuwaona wanasheria na kutoa dukuduku zao limepata mwitikio mkubwa na watu wengi wanasifia kwa namna wanavyosaidika ...
11 Reactions
52 Replies
6K Views
Mwanaume wa makamu amechomwa na vitu vya ncha kali hadi kufa wakati akijaribu kuwatenganisha wanandoa waliokuwa akipigana ndani ya nyumba yao huko maeneo ya Tudor, Mombasa Kenya. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Mzee Yufusu Abdulrahman Ndemanga alipokutana na Rais Magufuli ndani ya kivuko MV Kigamboni 25 August 2017 Maofisa wa Ikulu wakimkabidhi Bajaji yake Mzee Yufusu Abdulrahman Ndemanga Mzee...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
kuna video clip mbili nimezitazama katika mtandao wa instagram zikionyesha hali halisi juu kile kinachoendelea hivi sasa katika nchi ya jamhuri ya watu wa congo(DRC) na kuihusisha tanzania...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa msaada ya wafanyabiasha, na wananchi kwa ujumla,tuwekeni bei za masoko kwenye mikoa na wilaya zetu! MAHINDI MCHELE SAMAKI NYAMA KUKU MATUNDA MAHARAHE n.k
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Nyumba nyingi ni kero amejitahidi kukaa miezi6.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu tokea nmezaliwa sjawai skia tukio kama hili la mali za Tz kushikiliwa huko ughaibuni,kwan maden ya nch hii yameanza leo?tunadaiwa maisha yetu yoote,ila kwa mara ya kwanza ndo nmeshuhudia...
12 Reactions
245 Replies
17K Views
Tafadhali naomba kujulishwa, nimemsikia jana Dr. Mwigulu Nchemba akisema sasa unaweza ukaomba kupitia online, sawa nimekwenda na nimeona hizo form lakini sasa kwa mimi ninayetaka hiyo kubadilisha...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom